Mvutano bungeni Keter akikataa kujibu maswali kuhusu mradi wa Sh74b

Na CHARLES WASONGA KULITOKEA majibizano makali katika kamati moja ya seneti Jumatano adhuhuri pale Waziri wa Kawi Charles Keter...

Wakenya sasa wanatumia umeme zaidi

Na BERNARDINE MUTANU Matumizi ya umeme nchini yameendelea kuongezeka kutokana na ripoti mpya. Katika muda wa miaka minne, matumizi ya...

Tabaka la wastani kuzidi kununua umeme kwa bei ya zamani

Na BERNARDINE MUTANU Wakenya wa mapato kiwango cha wastani hawatanufaishwa na gharama mpya ya matumizi ya umeme. Hii ni baada ya Tume ya...

Wananchi kufaidika baada ya ERC kupunguza bei ya umeme

Na BERNARDINE MUTANU TUME ya Kudhibiti Kawi (ERC) imepunguza gharama ya matumizi ya umeme kwa watumiaji wa kawaida. Wakati wa mkutano...

Faraja kwa kampuni za wastani ERC ikitathmini ada za umeme

Na BERNARDINE MUTANU TUME ya Kudhibiti Kawi (ERC) inamalizia kutathmini ada mpya ya umeme kwa kampuni za wastani na zile ndogo. Kutokana...

GHARAMA YA MAISHA: Bei ya stima kupanda tena huku Safaricom ikizidi kuwa ghali

VICTOR JUMA Na BENSON MATHEKA BEI ya stima inatarajiwa kupanda tena katika juhudi za Serikali kupata Sh66 bilioni za kulipa kampuni...

Bei ya stima haitapanda kwa sababu ya ushuru mpya

Na BERNARDINE...

Mkaguzi bandia wa mita za Kenya Power anaswa

Na CHARLES WASONGA MAAFISA wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) jijini Nairobi wamemkamata mwanamume mmoja ambaye alikuwa...

Kushuka kwa ada ya umeme kuchukua muda

Na BERNARDINE MUTANU Huenda bei ya umeme ikashuka baada ya Wizara ya Kawi kumaliza mikataba ya ununuzi wa kawi (PPA). Waziri wa Kawi...

Wakenya wa tabaka la chini kupumua bei ya umeme kushuka

Na VALENTINE OBARA WAKENYA wanatazamiwa kunufaika kutokana na bei nafuu ya umeme kufuatia hatua ya Tume ya Kudhibiti Kawi (ERC)...

Tutapunguza ada ya umeme mradi wa Olkaria ukikamilika – Serikali

Na KAZUNGU SAMUEL KAMPUNI ya kutengeneza umeme nchini, KenGen Jumatatu ilisema kuwa gharama za umeme zinatarajiwa kupungua...

UMEME KWA WOTE: Bei ghali yazidi kulemaza mpango

Na VALENTINE OBARA BI ANNE Mueni ni mfanyabiashara anayemiliki hoteli katika eneo la Burani, Kaunti ya Kwale, ambaye ameamua kutegemea...