Washukiwa wawili wakamatwa kwa kuiba paipu za maji

Na SAMMY KIMATU NAIROBI WASHUKIWA wawili walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kudaiwa kuharibu mradi wa maji uliofadhiliwa na Benki la...

Mtoto aibwa mchana punde baada ya kuzaliwa

Na BRIAN OJAMAA HALI ya sintofahamu imekumba familia moja katika eneo la Machinjoni, eneobunge la Kimilili katika Kaunti ya Bungoma,...

Ukitapeliwa pesa kwa simu ni heri uzisahau tu – DCI

Na LEONARD ONYANGO UWEZEKANO wa kurudishiwa fedha zako baada ya kutapeliwa na wahalifu kwa njia simu au mtandao, ni mfinyu, polisi...

Watanzania wawili kizimbani kwa shtaka la kuiba chupi

Na Richard Munguti RAIA wawili kutoka Tanzania wameshtakiwa kuiba chupi za wanawake za thamani ya Sh43,000. Koduruni Laano almaarufu...

Mabilioni ya miradi ya serikali ndiyo ‘hutafunwa’ zaidi – Ripoti

Na PETER MBURU MIRADI inayofadhiliwa na fedha za walipa ushuru ndiyo inayotafunwa zaidi na maafisa fisadi serikalini, ripoti ya Mkaguzi...

Wezi wa nyaya za stima bungeni taabani

Na RICHARD MUNGUTI WANAUME wawili walikiri walikamatwa na wafanyakazi wa kampuni ya Kenya Power wakiiba nyaya za kusambaza umeme katika...

Mchuuzi wa ndizi taabani kwa kupatikana na Sh900,000 ndani ya benki

Na RICHARD MUNGUTI MCHUUZI wa ndizi alipatikana na hatia ya kukutwa ndani ya benki akiwa hundi ya Sh0.9milioni aliyojua...

Wakili kortini kwa madai ya kulaghai mayatima Sh100m

Na RICHARD MUNGUTI WAKILI alishtakiwa jana pamoja na mfanyabiashara bwanyenye kwa kuwalaghai mayatima kampuni ya wazazi wao yenye...

Mhasibu akana kutafuna Sh22 milioni

Na RICHARD MUNGUTI MHASIBU katika chama cha ushirika cha Runka alishtakiwa Jumatatu kwa wizi wa Sh22.6 milioni. Bw Lawrence Kathurima...

EACC yaelezea hofu ya fedha za serikali kuporwa uchaguzi ukinukia

Na WALTER MENYA ASASI za kuchunguza ufisadi zimeelezea hofu kuhusu kutokea kwa visa vya wizi na ubadhirifu wa pesa za umma kupitia...

Tapeli mkubwa wa Showbiz Wilkins Fadhili acheza kama yeye tena

NA TOM MATIKO WAKATI mwingine mimi hushindwa kuelewa kabisa Wakenya tunaishi katika sayari ipi. Juzi tena kumezuka stori kuhusu tapeli...

NDIO! HAPA WIZI TU

NA WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta amekiri kuwa uporaji pesa ndani ya serikali yake ni wa kiwango cha kutisha.Akizungumza jana asubuhi...