EACC yaelezea hofu ya fedha za serikali kuporwa uchaguzi ukinukia

Na WALTER MENYA ASASI za kuchunguza ufisadi zimeelezea hofu kuhusu kutokea kwa visa vya wizi na ubadhirifu wa pesa za umma kupitia...

Tapeli mkubwa wa Showbiz Wilkins Fadhili acheza kama yeye tena

NA TOM MATIKO WAKATI mwingine mimi hushindwa kuelewa kabisa Wakenya tunaishi katika sayari ipi. Juzi tena kumezuka stori kuhusu tapeli...

NDIO! HAPA WIZI TU

NA WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta amekiri kuwa uporaji pesa ndani ya serikali yake ni wa kiwango cha kutisha.Akizungumza jana asubuhi...

Mbunge wa zamani kortini kwa wizi wa shamba

Na RICHARD MUNGUTI ALYEKUWA Mbunge wa Laikipia Antony Mutahi Kimaru ameshtakiwa kwa kuiba hatimiliki ya shamba la mlowezi raia wa...

Polisi akana kumlaghai mfanyabiashara Sh3.9 milioni

By RICHARD MUNGUTI AFISA wa polisi ameshtakiwa kwa kumlaghai mfanya biashara Sh3.9milioni akisingizia atamsaidia kupewa zabuni ya kuuza...

Wafanyakazi wa Doshi wakana kuiba nyaya za mamilioni

Na RICHARD MUNGUTI WAFANYAKAZI wanne wa kampuni ya kutengeneza chuma ya Doshi Group Jumanne walikana kuiba nyaya za kutengeneza stima...

Vibarua wakana kuiba kalamu na karatasi KICC

Na RICHARD MUNGUTI VIBARUA watatu Jumanne walishtakiwa kwa kuvunja na kuiba kutoka afisi ya idara ya huduma za jiji la Nairobi (NMS)...

Meneja akana kupanga njama ya kutafuna mamilioni ya Naivas

Na RICHARD MUNGUTI MENEJA wa Fedha alishtakiwa kwa kukula njama za kuifilisi duka la supa la Naivas zaidi ya Sh33.8 milioni. Dennis...

Meneja wa zamani apatwa na hatia ya kutafuna Sh62.7 milioni

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA meneja wa kampuni bima amepatikana na hatia ya wizi wa Sh62.7milioni miaka 15 iliyopita. Hakimu mkuu...

Hofu jijini magenge yakipora watu mchana

Na BENSON MATHEKA MAGENGE ya vijana wahalifu yameongezeka katikati mwa jiji la Nairobi mchana na kutia hofu wakazi na wafanyabiashara...

Polisi ashtakiwa kuiba vita vya Sh6 milioni

Na Richard Munguti Afisa wa polisi alishtakiwa kwa uvunjaji wa ghala na kuiba viatu vinavyovaliwa na maafisa wa utumishi kwa wote vya...

MUTUA: Uozo wa ajabu kugeuza corona kitega uchumi

Na DOUGLAS MUTUA Lisemwalo lipo na ikiwa halipo limo njiani. Nimeandika hapa mara kadhaa kwamba, japo sikubaliani na watu wanaotilia...