• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 6:55 AM

Corona: Afrika Kusini sasa yadai ‘kuonewa’

JOHANNESBURG, Afrika Kusini Na MASHIRIKA AFRIKA Kusini imedai kuwa inaonewa na mataifa mengine duniani badala kusifiwa, kwa kutambua...

Ripoti ya utafiti yachora taswira ya viwango vya umaskini Afrika Kusini

Na MASHIRIKA PRETORIA, Afrika Kusini KIWANGO cha ukosefu wa ajira nchini Afrika Kusini kimepanda hadi kuwa cha juu zaidi duniani,...

AU yakashifu ghasia Afrika Kusini, watu 72 wakiuawa

Na MASHIRIKA JOHANNESBURG, Afrika Kusini UMOJA wa Afrika (AU) Jumatano ulikashifu vikali ghasia zinazoendelea kushuhudiwa nchini...

Kisa cha Covid-19 chatishia kampeni ya wanaraga wa Afrika Kusini watakaovaana na Kenya Olimpiki

Na GEOFFREY ANENE WAPINZANI wa Kenya Shujaa katika mechi za makundi za Olimpiki 2020, Afrika Kusini wanakodolea macho kubanduliwa bila...

Zuma atakiwa ajiamulie kifungo anachotaka apewe

NA AP ALIYEKUWA rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ametakiwa kupendekeza kifungo ambacho angependa kupewa kwa kukwepa vikao vya...

Vipimo vyabainisha viongozi kadhaa Afrika Kusini wanaugua Covid-19

PETER DUBE na CHARLES WASONGA MAWAZIRI wawili zaidi nchini Afrika Kusini wamepatikana na virusi vya corona huku janga hilo likiendelea...

Afrika Kusini yarekodi visa vingi zaidi

 XINHUA na FAUSTINE NGILA Afrika Kusini iliripoti visa 7,210 vya virusi vya corona, hii ikiwa idadi ya juu zaidi kuripotiwa tangu ugonjwa...

Hofu watu wengi zaidi huenda wakaangamia kwa corona Afrika Kusini

NA MASHIRIKA CAPE TOWN Nchi ya Afrika Kusini ilirekodi visa 2,801 kwa siku moja huku hofu ikizukwa kuwa kuna uwezekano wa watu wengi...

Afrika Kusini yaadhimisha mwongo mmoja tangu iwe mwenyeji wa Kombe la Dunia

Na CHRIS ADUNGO AFRIKA Kusini inaadhimisha miaka 10 tangu iwe mwenyeji wa fainali za Kombe la Dunia katika soka ya wanaume mnamo...

Nalenga kuvunja dhana potovu ‘Wakenya hawana lao soka ya Afrika Kusini’ – Anthony Akumu

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO matata wa Harambee Stars, Anthony ‘Teddy’ Akumu amesema analenga kutamba zaidi katika soka ya Afrika Kusini...

Mauaji ya wageni Afrika Kusini yazua ghadhabu barani

Na MASHIRIKA MAUAJI yanayolenga raia wa kigeni nchini Afrika Kusini yamezua ghadhabu katika mataifa mbalimbali ya Afrika huku idadi ya...

Mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Kusini yaushtua ulimwengu

Na AFP na MARY WANGARI JOHANNESBURG, Afrika Kusini WAZIRI Mkuu David Makhura amesema mashambulizi ya ubaguzi wa rangi hayataruhusiwa...