• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 3:03 PM

SHAIRI: Msirarue maisha yangu

Nanena nisikike, Nitambulike nipewe haki yangu, Hadhi yangu nipate, Heshima zangu nipokee.   Elimu kamwe...

MSHAIRI WETU: Nashon Kibet Domongole almaarufu Malenga Mbarikiwa

Na CHRIS ADUNGO KUPATA si kwa werevu na kukosa si kwa ujinga. Kila jambo hutokea katika maisha ya binadamu kwa sababu. Kujituma...

MSHAIRI WETU: Jesse Chege Mwangi almaarufu ‘Malenga Mzalendo’

Na CHRIS ADUNGO USHAIRI ni utungo unaoelezea hisia za ndani za msanii kutegemea mazingira yake. Ni utanzu ambao haujachapukiwa sana...

MSHAIRI WETU: Joel Odhiambo almaarufu Mwana Wa Nyoka

Na CHRIS ADUNGO NYOTE ambao hamjapiga mbizi katika bahari ya ushairi na fasihi kwa jumla, na mnajivunia kipaji cha utunzi, basi mnakosa...

MSHAIRI WETU: Alex Maingi Ndungi almaarufu ‘Malenga Mamboleo’

Na CHRIS ADUNGO MBALI na kupitisha ujumbe maalum kwa wanajamii, ushairi ni sanaa ambayo imeibukia kuwa kipengele mahsusi cha...

MSHAIRI WETU: Emmanuel Viambaka almaarufu Malenga Mcha Mola

Na CHRIS ADUNGO KAZI yoyote ya fasihi, haswa ushairi, huangazia maisha halisi ya binadamu kwa njia mbalimbali. Masuala yote...

MSHAIRI WETU: Antony Nyaga almaarufu ‘Hakuna Matata’

Na CHRIS ADUNGO USHAIRI ni sanaa ambayo hutumiwa kumulika jamii. Mtu hawezi kabisa kubobea katika sanaa hii iwapo hana uwezo wa...

MSHAIRI WETU: Bernard Mwandikwa almaarufu ‘Mshairi wa Riaka’

Na CHRIS ADUNGO FANI ya ushairi ni kiungo muhimu katika jamii japo imekosa mapokeo mema katika kizazi cha Karne ya 21. Isitoshe,...

MSHAIRI WETU: Dunneta Samama almaarufu ‘Malenga wa Mashinani’

Na CHRIS ADUNGO MASHAIRI yanaweza kutumiwa kuburudisha, kuelimisha, kuonya na hata kuipa jamii mwelekeo. Mashairi pia hutumiwa...

MSHAIRI WETU: Wangu Kanuri almaarufu ‘Malenga wa Baraka’

Na CHRIS ADUNGO USHAIRI ni kioo cha jamii kinachopania kumulika masuala ibuka katika jamii na masaibu ya mara kwa mara katika maisha ya...

MSHAIRI WETU: Sophy Onura ‘Johari Mwana Zawadi’

Na CHRIS ADUNGO MBALI na kupitisha ujumbe maalum kwa wanajamii, ushairi ni sanaa ambayo imeibukia kuwa kipengele mahususi cha...

MSHAIRI WETU: Boaz Aseli ‘Ustadh Kipepeo’

Na CHRIS ADUNGO WATU wengi hukata tamaa maishani kwa kuambiwa kuwa hawawezi kitu. Katika maisha, twafaa kuwa na subira ambayo siku...