Monday, June 24th, 2019
BI TAIFA 03, 2019
Brenda Nyamokami ndiye anatupambia ukurasa wetu leo.Yeye ni mwanafunzi wa uanahabari kutoka chuo Cha Mount Kenya. Anapenda kusafiri na kucheza ala za muziki. Picha/Richard Maosi