Monday, August 24th, 2020
BI TAIFA AGOSTI 16, 2020
Sheila Kavai 21, ni mwanafunzi wa mitindo na fasheni kutoka Meru Polytechinic. Uraibu wake ni kusakata densi na kusikiliza muziki wa Bongo Music. Picha/Richard Maosi