Monday, August 24th, 2020
BI TAIFA AGOSTI 8, 2020
Faith Kwamboka, 21, ni mzaliwa wa Kaunti ya Kisii, yeye ni mfanyibiashara na mwanafunzi wa uanahabari katika taasisi moja mjini Nairobi. Anapenda kuzuru mazingira mapya kupatana na marafiki. Picha/Richard Maosi