Thursday, June 25th, 2020
BI TAIFA APRILI 12, 2020
Sharon Blaine ni mwanamitindo maarufu kutoka kaunti ya Kisumu, mbali na kukuza vipaji vya ulimbwende anapenda kujihusisha na majukwaa ya urembo na mavazi ya kisasa. Muda wake anapenda kuogelea na kusakata kabumbu.
Picha/Richard Maosi