Sunday, November 22nd, 2020
BI TAIFA OKTOBA 10, 2020
Jane Kharim amefikisha miaka 24, yeye ni mwanamitindo na mwanafasheni kutoka kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusakata densi na kujumuika na marafiki. Picha/Richard Maosi