• Nairobi
  • Last Updated October 2nd, 2023 11:00 AM

Gavana Awiti ‘awapoteza’ maseneta kwa kuwasilisha stakabadhi ya Kijerumani

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa Homa Bay Cyprian Awiti aliwashangaza maseneta Alhamisi alipowasilisha mbele yao barua ambayo ilikuwa...

Awiti akosa kufika mbele ya Seneti kwa kuugua

Na CHARLES WASONGA SERIKALI ya kaunti ya Homa Bay imepewa makataa ya siku saba kuwasilisha kwa Seneti majibu ya maswali yaliyoibuliwa...

HOMA BAY: Naibu Gavana ashika usukani Awiti akitibiwa

NA CECIL ODONGO GAVANA wa Homa Bay Cyprian Awiti amemwachia Naibu wake Hamilton Orata majukumu ya kuendesha kaunti hadi atakapopata...

Furaha kwa Awiti na wafuasi wake mahakama kuamuru alibwaga wapinzani

Na RICHARD MUNGUTI USHINDI wa Gavana wa Homa Bay Cyprian Awiti ulithibitishwa na Mahakama ya Juu Alhamisi ilipotupilia mbali maamuzi ya...

Gavana Awiti akana uvumi analenga kujiuzulu

Na BARACK ODUOR GAVANA Cyprian Awiti wa Homa Bay amekanusha kuwa anapanga kujiuzulu baada ya Mahakama ya Rufaa kusisitiza kwamba...

Tetesi Kidero atawania ugavana Homa Bay baada ya ushindi wa Awiti kufutwa

[caption id="attachment_2127" align="aligncenter" width="800"] Aliyekuwa gavana wa Nairobi Dkt Evans Kidero. Picha/...

Pigo kwa Gavana baada ya mahakama kumpokonya ushindi

Na BARACK ODUOR GAVANA wa Homa Bay, Cyprian Awiti, Jumanne alipata pigo baada ya Mahakama Kuu kubatilisha ushindi wake kwenye uchaguzi...