• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 11:55 AM

KIKOLEZO: Blanda za R. Kelly

Na THOMAS MATIKO SIKU ya kufa nyani, miti yote huteleza. Akiwa na umri wa miaka 54, staa wa RnB Robert Kelly al-maarufu R. Kelly,...

KIKOLEZO: Wa-totos na pesa

Na THOMAS MATIKO KUWA mwanamitindo ni jambo moja, ila kufanikiwa kwenye tasnia hiyo ya ulimbwende ni suala lingine tofauti...

KIKOLEZO: Maji yazidi unga!

Na THOMAS MATIKO BAADA ya miaka sita pamoja, ndoa ya rapa Kanye West na soshiolaiti Kim Kardashian, imekunywa maji. Tetesi zinadai...

KIKOLEZO: Je, TPF lilikuwa shindano la mkosi?

Na THOMAS MATIKO JUMA lote hili imetrendi stori ya masaibu anayopitia staa wa zamani wa shindano la uimbaji la Tusker Project Fame...

BAMBIKA: Maceleb wamechoka na tuzo ama kunaendaje?

Na THOMAS MATIKO KWA miaka mingi tumeshuhudia chimbuko la tuzo mbalimbali za sanaa humu nchini zilizochangia pakubwa kunogesha tasnia...

BAMBIKA: Kama mbaya mbaya

Na THOMAS MATIKO NI kama vile msimu wa bifu umerudi tena. Sasa hivi bifu inayozungumziwa sana ni ile ya Khaligraph Jones dhidi ya...

KIKOLEZO: ‘Father Abraham’ wa Showbiz hapa!

Na THOMAS MATIKO WATOTO ni baraka kutoka kwa Mungu, vitabu vya dini vitakuambia hivyo. Hata hivyo tunaishi katika nyakati ambazo...

BAMBIKA: Posa zilizoduwaza

Na THOMAS MATIKO WAKATI maceleb wa hapa nyumbani wakionekana kupendelea kuwa na mahusiano ya kimya kimya na hata wanapotoa posa kwa...

KIKOLEZO: Vijiskendo kawapa jukwaa kuu showbiz

Na THOMAS MATIKO KATIKA tasnia ya Showbiz wadau wengi ambao huchachisha ni wanamuziki, waigizaji na masoshiolaiti. Kunapokosekana...

KASHESHE: Covid-19 yatia breki fungate

Na THOMAS MATIKO MWANAMUZIKI wa bendi ya Sauti Sol, Bien Baraza kalazimika kuahirisha fungate yake na mkewe Chiki Kuruka kufuatia...

BAMBIKA: Walivyotuacha kwa njia tatanishi

Na THOMAS MATIKO JUMATANO wiki iliyopita, alizikwa msanii wa injili Papa Dennis kule kwao Matunda, Kakamega ikiwa ni wiki mbili baada ya...

KIKOLEZO: Mapenzi yazima taa yao

Na THOMAS MATIKO LEO ndiyo siku ya wapendanao al-maarufu Valentine’s Day. Ndiyo siku ambayo wapenzi hujitokeza kudhihirishiana...