• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 11:55 AM

Duale aapa kupinga Mswada wa miungano ya kisiasa

Na KENYA NEWS AGENCY MBUNGE wa Garissa Mjini Aden Duale (pichani) ameapa kuongoza wabunge wanaomuunga mkono Naibu Rais William Ruto,...

Sababu za kumng’oa Duale

NA CHARLES WASONGA CHAMA tawala cha Jubilee Jumatatu asubuhi kimemng'oa mbunge wa  Garissa Mjini Aden Duale kutoka wadhifa wa Kiongozi...

Vigogo wa Ruto kichinjioni

Na MWANGI MUIRURI HARAKATI za kuwaondoa wandani wa Naibu Rais William Ruto katika nyadhifa mbalimbali bungeni zinatarajiwa kufikia...

Duale apuuza jaribio la kumng’oa afisini

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wengi katika Bunge la Kitaifa Aden Duale amewapuuzilia mbali wabunge ambao wanadaiwa kukusanya sahihi za...

Joto lazidi kambi ya Ruto Duale akiandamwa

FARHIYA HUSSEIN na VALENTINE OBARA MWANDANI mwingine wa Naibu Rais William Ruto, Aden Duale, yumo motoni baada ya polisi kuanzisha...

Presha Duale na Murkomen watimuliwe yazidi

Na ONYANGO K’ONYANGO SHINIKIZO imezidi kutolewa kwa Chama cha Jubilee kubadilisha viongozi wa wengi na viranja katika bunge la taifa...

Kura ya maamuzi ifanyike 2022, Duale ashikilia

Na IBRAHIM ORUKO KIONGOZI wa Wengi Bungeni Aden Duale alisisitiza Jumatatu kuwa mfumo wa bunge ambao utamwezesha Waziri Mkuu kuwa na...

Duale: Uchaguzi mkuu 2022 ni kinyang’anyiro cha Ruto na Raila

Na SAMMY WAWERU JUBILEE Party (JP) kingali imara na viongozi wake wako pamoja, amesema Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Kitaifa, Aden...

Kizimbani kwa kujifanya Duale

Na RICHARD MUNGUTI MWANAUME aliyejifanya kuwa Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni Aden Duale Alhamisi alifikishwa mahakamani. Bw James...

Hakuna njama ya kumtimua Matiang’i kazini – Duale

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wengi katika Bunge la Kitaifa Bw Aden Duale amepinga madai kuwa wabunge wandani wa Naibu Rais William...

Duale azungumzia suala la urais mwaka 2022

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa wengi katika Bunge la Kitaifa Aden Duale ameonekana kukaidi amri ya Rais Uhuru Kenyatta kwa kuendeleza...

REFERENDA: Duale atoa sababu ya kuanguka kwa mswada wa tarehe mpya ya uchaguzi

Na CHARLES WASONGA WAKENYA sasa wataendelea kushiriki uchaguzi mkuu mwezi Agosti kila baada ya miaka mitano kufuatia kuangushwa kwa...