• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM

Genge linavyohangaisha wanawake na wasichana

NA WAIKWA MAINA WAHALIFU sugu wenye silaha kali na hatari ambao wanalenga akina mama na wasichana wadogo, wamevamia kaunti ya Nyandarua,...

Serikali ya kaunti yafuta bili za waliovamiwa na genge Mombasa

Na MISHI GONGO NAIBU Gavana wa Kaunti ya Mombasa Dkt William Kingi amesema serikali ya kaunti imefutilia mbali bili za hospitali za wote...

Genge la Gaza lavamia na kuhangaisha Tana River

Na STEPHEN ODUOR KWA mwezi mmoja sasa, kundi la watoto wa chini ya zaidi ya miaka 16 linaendelea kuhangaisha wakazi wa eneo la Madogo,...

MURANG’A: Eneo ambako genge huitisha wenye magari Sh175,000 kuwaruhusu barabarani

Na MWANGI MUIRURI KWA miaka tisa sasa, wenyeji wa kaunti ndogo ya Kigumo katika kaunti ya Murang’a wameishi na ukweli kwamba genge...

Magenge hatari yalivyoteka nchi

Na LEONARD ONYANGO WAKENYA wengi wanaendelea kuishi roho mkononi huku magenge ya wahalifu yakizidi kongezeka na polisi kuonekana...

Wachoshwa na genge la Sangwenya, wamtaka Matiang’i aliangamize

Na WANDISHI WETU VIONGOZI kutoka Kaunti ya Migori sasa wanamtaka waziri wa Usalama, Dkt Fred Matiang’i kukabiliana na genge la...

Pwani yaongoza kwa idadi ya magenge nchini

 MOHAMED AHMED na LEONARD ONYANGO UKANDA wa Pwani unatambulika kuwa miongoni mwa maeneo yenye idadi kubwa ya magenge hatari. Kati ya...

Mungiki, Usiku Sacco na Gaza wahangaisha wafanyabiashara

NICHOLAS KOMU na NDUNGU GACHANE VISA vya uvamizi unaotekelezwa na magenge ya wahalifu vinazidi kuongezeka katika eneo la Kati huku...

Polisi wasaka genge hatari linalohusishwa na wanasiasa

Na ERIC MATARA MAAFISA wa usalama wameanzisha msako dhidi ya genge hatari la wahalifu ambalo limekuwa likihangaisha wakazi wa Nakuru,...

UHALIFU KISAUNI: Wanafunzi wa TUM wamlilia Mutyambai awaokoe

Na STEVE MOKAYA MTAA wa Kisauni, Mombasa huibua kumbukumbu za utovu wa usalama na uoga kila unapotajwa. Hili ni eneo ambalo limepata...

Hofu magenge hatari ya vijana kufufuka eneo la Kisauni, Mombasa

Na MOHAMED AHMED MAGENGE ya kutisha ya vijana wadogo wanaotumia visu kuhangaisha wakazi yamerejea mjini Mombasa. Magenge hayo ya...