• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 6:55 PM

Leicester City wakomoa Brentford na kupaa hadi 10-bora katika jedwali la EPL

Na MASHIRIKA TIMOTHY Castagne na James Maddison walifunga bao kila mmoja na kusaidia waajiri wao Leicester City kusajili ushindi wa 2-1...

HAWA LEICESTER: Bao la Youri Tielemans kwenye fainali lawapa The Foxes Kombe la FA

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza BAADA ya kusubiri kwa nusu karne, hatimaye Leicester City ilibeba Kombe la FA baada ya kuikomoa...

Leicester City waponda Chelsea na kutwaa Kombe la FA

Na MASHIRIKA KIUNGO Youri Tielemans alifunga bao la pekee dhidi ya Chelsea na kushindia waajiri wake Leicester City ufalme wa Kombe la FA...

Chelsea wapewa Man-City huku Leicester wakionana na Southampton kwenye nusu-fainali za Kombe la FA

Na MASHIRIKA MABINGWA mara nane wa Kombe la FA, Chelsea, watakwaruzana na Manchester City kwenye nusu-fainali za Kombe la FA msimu huu...

Leicester waaibisha Manchester United na kufuzu kwa nusu-fainali za Kombe FA kwa mara ya kwanza tangu 1982

Na MASHIRIKA LEICESTER City walitinga nusu-fainali za Kombe la FA kwa mara ya kwanza baada ya miaka 39 baada ya kuwapokeza Manchester...

Leicester City kurefusha mkataba wa fowadi Harvey Barnes ili kusambaratisha mipango ya Liverpool na Man-United

Na MASHIRIKA LEICESTER City wameanzisha mazungumzo na Harvey Barnes kwa nia ya kurefusha mkataba wa sasa wa kiungo huyo mvamizi uwanjani...

Pigo kwa Leicester City jeraha la goti likiweka nje beki wao tegemeo hadi mwishoni mwa msimu huu

Na MASHIRIKA BEKI James Justin wa Leicester City sasa atakosa mechi zote zilizosalia katika kampeni za msimu huu baada ya kupata jeraha...

Fulham yazamisha Leicester 2-1 katika EPL na kuachia wengine kuburura mkia

Na MASHIRIKA KOCHA Scott Parker wa Fulham alimtunuka sifa fowadi Ivan Cavaleiro baada ya penalti ya nyota huyo kusaidia kikosi chake...

Vardy awabeba Leicester City hadi hatua ya 32-bora ya Europa League

Na MASHIRIKA JAMIE Vardy alifunga bao la dakika za majeruhi na kuwasaidia Leicester City kufuzu kwa hatua ya 32-bora ya Europa League...

Liverpool waangusha Leicester na kuweka rekodi mpya ya kutoshindwa ugani Anfield

Na MASHIRIKA LIVERPOOL sasa wanajivunia alama sawa na Tottenham Hotspur kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya...

Ndidi kukosa mechi za Leicester kwa wiki 12 kutokana na jeraha

Na MASHIRIKA KIUNGO wa Leicester City, Wilfred Ndidi, 23, atasalia nje kwa wiki 12 baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na jeraha la...

Leicester City kukimbilia Bertrand

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza LEICESTER City wanatarajiwa kuelekeza macho yao kwa Ryan Bertrand wa Southampton mwenye umri wa miaka...