• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Mutula Jr aongoza maseneta wa Ukambani kumkaidi Kalonzo

Na BENSON MATHEKA Maseneta wa kaunti tatu za Ukambani, wameapa kwamba hawatakubali kutishwa kuunga mfumo wa ugawaji wa pesa za kaunti...

Ukambani walia matunda ya handisheki hayajawafikia

Na PIUS MAUNDU SIKU chache baada ya kiongozi wa ODM kuzindua miradi kadhaa katika ngome yake ya Nyanza kutokana na muafaka kati yake na...

Aliyekuwa mlinzi wa Mutula Kilonzo Jr apatikana na hatia

Na PIUS MAUNDU MAHAKAMA moja ya Makueni Jumatano ilimpata mlinzi wa zamani wa Seneta wa Makueni Mutula Kilonzo Junior na hatia, kwenye...

Seneta Mutula Jr alazwa hospitalini baada ya kusakamwa na nyama ya kuku

TOM MATOKE na BENSON MATHEKA SENETA wa Kaunti ya Makueni Mutula Kilonzo Junior, Jumatano alikimbizwa hospitalini baada ya kusakamwa na...

Msituhusishe kwa mzozo wenu, Mutula awaambia vinara wa NASA

Na PIUS MAUNDU KIRANJA wa Wachache Seneti Mutula Kilonzo Junior ameonya vinara wa Muungano wa NASA dhidi ya kuwahusisha maseneta na...