• Nairobi
  • Last Updated April 12th, 2024 4:55 PM

Wakati wa kumtimua Kiunjuri ni sasa, wabunge wamwambia Rais

Na CHARLES WASONGA MAPEMA Jumatano wabunge wa North Rift walimtaka Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri kujiuzulu kwa kusimamia wizara hiyo...

MAHINDI: Fyata ulimi, Kiunjuri amwambia Raila

GRACE GITAU, DENNIS LUBANGA na BARNABAS BII WAZIRI wa Kilimo, Bw Mwangi Kiunjuri amempuuzilia mbali Kiongozi wa Chama cha ODM Raila...

Vunjeni ‘Tangatanga’ na ‘Kieleweke’, Kiunjuri ashauri

GRACE GITAU na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Kilimo Mwangi Kiunjuri amewashauri wanasiasa wa Jubilee kuvUnjilia mbali kambi zao na kusubiri...

Mawaziri wafisadi wa Uhuru wanavyoua Ajenda Nne Kuu

Na MWANDISHI WETU JUHUDI za Rais Uhuru Kenyatta kutimiza ajenda zake nne kuu za maendeleo nchini kabla ya kustaafu mwaka 2022 zinazidi...

Kiunjuri abanwa kwa kona

BENSON MATHEKA Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Kilimo, Mwangi Kiunjuri anakabiliwa na masaibu tele tangu alipoteuliwa kusimamia wizara hiyo...

Onyo kali kwa wanaouza unga kwa zaidi ya Sh75

Na GITONGA MARETE WAZIRI wa Kilimo Mwangi Kiunjuri ameonya wafanyabiashara wanaouza unga wa mahindi kwa bei ya juu kuwa watakamatwa na...

SAKATA YA NCPB: Kiunjuri akiri wakulima bandia walivuna wasipopanda

Na LUCY KILALO WAZIRI wa Kilimo, Mwangi Kiunjuri Jumatano alikiri kuna wahusika wakuu wa kashfa ya mahindi kando na wale walioorodheshwa...

Sakata mpya ya mahindi serikalini yawaletea wakulima hasara kubwa

Na WAANDISHI WETU Kwa ufupi: Sehemu ya Sh7.1 bilioni zilizotengwa kwenye bajeti ya 2017/2018 kununua mahindi kutoka kwa wakulima...

Nimewasamehe wote waliotaka nitemwe serikalini – Mwangi Kiunjuri

[caption id="attachment_1667" align="aligncenter" width="800"] Waziri mpya wa Kilimo Bw Mwangi Kiunjuri akihutubu. Picha/...