• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 12:43 PM

Babu, 93 ashinda vijana kwa mistari, aoa mke wa umri wa miaka 19

Na STEPHEN ODUOR MWANADADA mwenye umri wa miaka 19, ameshangaza wanakijiji wa Mataarba, kaunti ndogo ya Tana Delta baada ya kuamua...

Mwanamke atoroka mumewe na kuolewa na ‘roho mtakatifu’

Na OSCAR KAKAI MWANAMKE wa umri wa miaka 41 ameshangaza mumewe pamoja na wakazi wa mji wa Makutano, Pokot Magharibi, baada ya kutangaza...

‘Usilaze damu mwanamke wewe’ 

Na WINNIE A ONYANDO "MUME wangu anahanya" ni kauli ambayo utasikia kutoka kwa vinywa vya wanawake wengi walio katika ndoa. Rosey, 25,...

CHOCHEO: Jifunze kuomba msamaha ili furaha irejee kwenye ndoa

NA BENSON MATHEKA Wengi husema kuwa wanaume hawaombi wake zao msamaha wakiwakosea hata wakipatikana peupe wakichepuka lakini sivyo kwa...

Shinikizo mbunge amlipe mpenzi wa zamani Sh200,000 kila mwezi

Na RICHARD MUNGUTI MBUNGE wa Ikolomani Bw Bernard Masaka Shinali ameshtakiwa na mwanamke anayedai alipata mtoto naye. Mwanamke huyo Ms...

UMBEA: Mwanamke huridhishwa zaidi na ukarimu na upendo wa mwenzake

NA SHANGAZI SIZARINA Ipo dhana kwa baadhi ya wanaume kwamba ili umpate mwanamke ama msichana ni muhimu kutunisha msuli wa pesa. Kwamba...

MWANAMUME KAMILI: Kila nyumba huwaka moto, muhimu kujenga muamana heshima

NA DKT CHARLES OBENE Je, ulijua kwamba kutaka kuishi “kama wanavyoishi majirani” ni “uchochezi” unaoweza kuzua rabsha wanandoa...

CHOCHEO: Akikuacha kwenye dhiki utamsamehe ukiomoka?

NA BENSON MATHEKA Miaka minne iliyopita, Rosa* alimuacha mumewe kwa sababu hakuwa na uwezo wa kukimu mahitaji ya familia. Mumewe Alex*...

CHOCHEO: Mume si suti, ni ujasiri!

NA BENSON MATHEKA Faiza alishangaza marafiki wake kwa kumuacha Ali na kumchumbia Abdul ingawa mwanamume huyo alikuwa akimpenda na...

Shoo ya #WifeMaterial yamtia Eric Omondi matatani

Na SAMMY WAWERU Mcheshi maarufu Eric Omondi amejipata matatani kutokana na shoo yake ya #WifeMaterial. Shoo hiyo tata imekuwa ikimhusisha...

Siombi radhi, Wambua ni dume katili, Nzilani sasa asema

NA PIUS MAUNDU Kwa mtu aliyejipata katikati ya zogo la kifamilia lililosambaa kote nchini, Jackline Nzilani anaonekana mwenye utulivu...

Mapenzi au utumwa?

NA BENSON MATHEKA Kwa miaka saba, Jane amekuwa akimkwamilia Patrick akidai kwamba anampenda ingawa mwanamume huyo hawajibiki...