• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 5:30 PM

Ruto aingia hema la Mudavadi

Na BENSON MATHEKA NAIBU wa Rais William Ruto atatumia muungano ‘ulioundwa’ mwaka 2021 na kiongozi wa Amani National Congress (ANC)...

Sababu za Ruto kupinga vikali mswada wa vyama

Na WANDERI KAMAU Naibu Rais William Ruto na waandani wake wameapa kufanya kila wawezalo kulemaza juhudi za Kiongozi wa ODM, Raila Odinga...

Ruto apiga chenga Raila, Uhuru kuhusu mswada

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wandani wa Naibu Rais William Ruto jana walifaulu kuzuia kupitishwa kwa Mswada tata wa marekebisho ya Sheria...

Ruto, Raila wararuana Mombasa

BRIAN OCHARO na VALENTINE OBARA UBABE wa kisiasa kati ya Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, na Naibu Rais William Ruto katika Kaunti ya...

JAMVI: Uhatari wa ‘suti’ kwa Ruto, Raila

Na CHARLES WASONGA HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za...

Mizomo ya wafuasi wa Maina Njenga kwa Ruto yachemsha kambi yake

Na WANDERI KAMAU SUALA lililozua gumzo wiki hii ni majibizano yaliyozuka kati ya mrengo wa Naibu Rais William Ruto na mwanasiasa Maina...

Ruto ni maarufu kuliko raila eneo la Mlimani’

Na JUSTUS WANGA GAVANA wa Meru Kiraitu Murungi amekiri kwamba umaarufu wa Naibu Rais William Ruto umekita mizizi zaidi katika eneo la...

CECIL ODONGO: Ruto, Moi wasihadae wahanga wa Mau wakijitafutia kura za uchaguzi ujao

Na CECIL ODONGO INASIKITISHA kuwa Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa wanalitumia suala la msitu wa Mau kwa...

Uhuru ataacha deni la ahadi alizotoa kwenye kampeni- Ruto

Na WYCLIFFE NYABERI NAIBU Rais Dkt William Ruto amemshambulia Rais Uhuru Kenyatta huku akisema ataondoka mamlakani bila kulipa deni la...

Ujanja mpya wa kampeni za Raila, Ruto

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanaonekana kuendeleza mbinu za kampeni za kulambana visigino...

Washirika wa Ruto wadai Obado avuruga chama cha Naibu Rais

Na IAN BYRON HATUA ya Gavana Okoth Obado kujihusisha na siasa za chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Naibu Rais, Dkt William...

Kupe wa kisiasa wamfyonza Ruto

BENSON MATHEKA NA CHARLES WASONGA ?WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto wamegeuka kupe kwa ‘ kufyoza mamilioni ya fedha anazoyapa...