• Nairobi
  • Last Updated April 12th, 2024 4:55 PM

JAMVI: Ruto anasa ‘samaki’ mkubwa Gavana Mvurya akiingia Hasla

Na SIAGO CECE KAMPENI za Naibu Rais William Ruto maeneo ya Pwani zimeanza kuzaa matunda baada ya kupata uungwaji mkono kutoka kwa...

Ruto: Rais hatakuwa ameafikia ajenda zake atakapostaafu

Na SAMMY WAWERU NAIBU wa Rais, William Ruto amedai Rais Uhuru Kenyatta hataweza kuafikia ajenda zake atakapostaafu 2022. Baada ya...

Ruto, Raila wakoroga chama cha Kingi PAA

MAUREEN ONGALA na ALEX KALAMA GAVANA wa Kaunti ya Kilifi, Bw Amason Kingi, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kuamua mwelekeo ambao chama...

Ruto, Raila wakoroga chama cha Kingi PAA

MAUREEN ONGALA na ALEX KALAMA GAVANA wa Kaunti ya Kilifi, Bw Amason Kingi, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kuamua mwelekeo ambao chama...

Watavuruga hesabu za Raila, Ruto?

Na LEONARD ONYANGO MUUNGANO wa viongozi wa Vuguvugu la Umoja wa Mlima Kenya (MKUF) na vinara wa One Kenya Alliance (OKA) unatishia...

KINYUA BIN KING’ORI: Matamshi ya Ruto kwa hakika yanaweza kumponza Mlimani uchaguzi wa 2022

Na KINYUA BIN KING'ORI MBINU mpya ya Naibu Rais, Dkt William Ruto kukabiliana na viongozi wa Mlima Kenya wanaompigia debe kiongozi wa...

Ruto ageuka kiazi moto kwa Jubilee

Na WANDERI KAMAU JUHUDI za baadhi ya wanasiasa wa chama cha Jubilee (JP) kumfurusha Naibu Rais William Ruto kutoka chama hicho zimegeuka...

Mawaziri 4 wampuuza Naibu Rais

Na CHARLES WASONGA MAWAZIRI wanne wa serikali jana walikataa kuhudhuria mkutano ulioitishwa na Naibu Rais William Ruto kujadili masuala...

Mada nzito Raila, Ruto wanakwepa

Na LEONARD ONYANGO VIGOGO wa kisiasa wanaopigania urais 2022, Naibu Rais William Ruto na Kinara wa ODM Raila Odinga, wanaonekana kukwepa...

Kinaya Ruto akiita mawaziri wanaomkosoa

NA WALTER MENYA NAIBU RAIS WILLIAM RUTO ameita mawaziri watano na Baraza la Magavana kuhudhuria mkutano wa Baraza la Serikali la Bajeti...

Hofu kuu ya Ruto ni kuibiwa kura 2022

NA BENSON MATHEKA Kila dalili zinaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anahofia kwamba ataibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao....

Ruto amtupia Raila onyo kali kuhusu Nyanza

GEORGE ODIWUOR na DANIEL OGETTA NAIBU RAIS William Ruto amemwambia kinara wa ODM, Raila Odinga, na wawaniaji wengine wa urais...