• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Kongamano la ugatuzi ni kwa waliochanjwapekee -Waandalizi

Na PIUS MAUNDU KAMATI inayoratibu Kongamano la saba la Ugatuzi litakaloandaliwa katika Kaunti ya Makueni baadaye mwezi huu imetoa...

Katibu mkuu kushtakiwa kwa kumtandika mke kwasabaabu ya chakula

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA kuu imeagiza katibu mkuu wizara ya ugatuzi akamatwe na kushtakiwa kwa kumpiga mkewe na kumwumiza baada ya...

Wakazi Vihiga wakusanya saini kuvunja serikali ya kaunti

Na Derick Luvega MPANGO wa raia ambao huenda ukasababisha Kaunti ya Vihiga kuvunjiliwa mbali ulizinduliwa jana katika hatua ambayo...

Magavana waliovuta ?mkia sasa wajitetea

Na WAANDISHI WETU BAADHI ya magavana ambao waliorodheshwa nyuma katika utafiti wa utendakazi, wamejitetea vikali. Gavana wa Taita...

Kaunti za Mlima Kenya na Pwani zaburuta mkia kwa utendakazi

Na WANDERI KAMAU KAUNTI za Kakamega, Kwale na Makueni zinazoongozwa na magavana Wycliffe Oparanya, Salim Mvurya na Kivutha Kibwana...

Jopo la kuboresha ushirikiano kati ya mawaziri na maseneta labuniwa

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Seneti na Baraza la Mawaziri zimebuni jopo maalum litakalohakikisha kuwa maamuzi, hoja na miswada...

MWITHIGA WA NGUGI: Wakenya hawajavuna matunda ya ugatuzi miaka sita baadaye

Na MWITHIGA WA NGUGI NI miaka tisa sasa tangu Wakenya wakumbatie mfumo wa utawala wa ugatuzi baada ya kupitisha Katiba Mpya Mwaka...

Seneti kuita mabunge ya kaunti kueleza yanavyotumia pesa

Na PETER MBURU SENETI inapanga kuanza kuwaweka madiwani katika kibarua kueleza jinsi wanatumia pesa wanazopewa na serikali za kaunti,...

Kaunti zakwama

Na BENSON MATHEKA HUDUMA katika kaunti zote 47 nchini huenda zikakwama iwapo Wizara ya Fedha itaendelea kuchelewesha pesa ilizopaswa...

UGATUZI: Hatari ya shughuli za kaunti kukwama

Na CHARLES WASONGA HUENDA shughuli katika serikali 47 za kaunti zikakwama kuanzia mwezi Julai ikiwa suluhu la mvutano kuhusu ugavi wa...

WASONGA: Kaunti zinaua ndoto ya ugatuzi Wakenya wakitazama

Na CHARLES WASONGA SABABU kuu ya kupitishwa kwa katiba ambayo Kenya inatumia sasa na kuundwa kwa serikali za kaunti ilikuwa kupeleka...

TAHARIRI: Ni wazi hatua za ugatuzi bado hafifu

NA MHARIRI KONGAMANO la siku tatu la Ugatuzi lilimalizika katika Kaunti ya Kirinyaga Alhamisi huku mambo kadha wa kadha yakijitokeza....