Kitovu cha Lugha

Kitovu cha Lugha: Bwende

Na NUHU BAKARI January 28th, 2025 Kusoma ni dakika: 1

Bwende

Kitambaa kikuukuu kinachofungwa kiunoni na wanawake wakati wa kufanya kazi ngumu au za ujima kama vile kulima.

Mfano katika sentensi:

Kina mama wengi wa kisasa hawapendi kujifunga bwende wakiwa kwenye kazi nzito.