• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 11:55 AM

BI TAIFA OKTOBA 09, 2020

Margaret Njeri 22, ni mwanafunzi wa fasheni katika taasisi moja mjini Nakuru. Uraibu wake ni kusafiri na kuogelea. Picha/Richard Maosi

BI TAIFA OKTOBA 08, 2020

Mary Gichuru 23, ni mfanyibiashara wa mitindo na mapambo kutoka Kaunti ya Nakuru. Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya urembo, kusafiri na...

BI TAIFA OKTOBA 07, 2020

Grace Mukuhi, mwenye umri wa miaka 20, ni mwanamitindo jijini Nairobi, mtaa wa Uthiru. Uraibu wake ni kusikiza muziki, kuogelea na...

BI TAIFA OKTOBA 06, 2020

Mary Wambui, 21, ndiye anatupambia tovuti yetu leo. Yeye ni mwanamitindo katika mtaa wa Uthiru, Kaunti ya Nairobi. Uraibu wake ni kupika,...

BI TAIFA OKTOBA 05, 2020

Eunice Muthoni, 21, ni mpishi hodari na mwanamitindo mtaani Uthiru, Nairobi. Uraibu wake ni kusafiri, kuogelea na kupika. Picha/Richard...

BI TAIFA OKTOBA 04,2020

Elizabeth Almasi, mwenye umri wa miaka 22, ni mkazi wa eneo la Bahati, Kaunti ya Nakuru. Yeye ni mwanafunzi katika Taasisi ya Kenya Youth...

BI TAIFA OKTOBA 03, 2020

Eunice Muthoni, 21, ni mpishi hodari na mwanamitindo mtaani Uthiru, Nairobi. Uraibu wake ni kusafiri, kuogelea na kupika. Picha/Richard...

BI TAIFA OKTOBA 02, 2020

Ruth Wanjira, 25,  ni mwanamitindo mtaani Uthiru, Nairobi. Yeye ni mfanyabiashara na anaenzi kupiga picha na kutazama filamu....

BI TAIFA OKTOBA 01, 2020

Mary Wambui, 21, ndiye anatupambia tovuti yetu leo. Yeye ni mwanamitindo katika mtaa wa Uthiru, Kaunti ya Nairobi. Uraibu wake ni kupika,...

BI TAIFA AGOSTI 29, 2020

Tasha Wanjiru 24, ni mfanyibiashara na mtaalamu wa vipodozi kutoka kaunti ya Uasin Gishu. Anapenda kusafiri na kukutana na marafiki wapya....

BI TAIFA AGOSTI 28, 2020

Gloria Fatuma 24 , ni mwanamitindo na mshonaji wa aina mbalimbali ya miondoko kutoka Eldoret. Anapenda kuogelea na kutazama filamu za Soap...

BI TAIFA AGOSTI 27, 2020

Hilda Motanya 30, ni mwanafasheni katika Kaunti ya Uasin Gishu. Yeye ni mshindi wa tuzo ya Miss Red Cross Kenya. Anapenda kujumuika katika...