Malkia wetu anajulikana kama Monica Maina, amehitimu miaka 26. Yeye ni mzaliwa wa Kitale. Uraibu wake ni kusafiri, kupika na kutazama...
Ann Nyokabi amehitimu miaka 26, yeye ni mfanyibiashara kutoka Kitale. Uraibu wake ni kusikiliza muziki na kutazama filamu. Picha/Richard...
Mercy Wanjiku, 22, ni mwanamitindo na mfanyibiashara kutoka kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea na kutalii mazingira...
Sharon Blaine ni mwanamitindo maarufu kutoka kaunti ya Kisumu, mbali na kukuza vipaji vya ulimbwende anapenda kujihusisha na majukwaa ya...
Mercy Mesie ni mjasiriamali katika kitengo cha utalii nchini, mbali na kuwahamasisha vijana wajianzishie miradi ya kujiendeleza anapenda...
Sharon Cheptoo, 21, ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Maasai Mara, Kaunti ya Narok. Uraibu wake ni kusakata kabumbu na kuchora....
Linda Chemuta, 24, ni mzaliwa wa kaunti ya Uasin Gishu. Uraibu wake ni kusafiri, kusakata densi na kusakata kabumbu. Picha/Richard Maosi
Vivian Moraa, 20, ni mzaliwa wa eneo la Keroka kaunti ya Kisii. Ni mwanahabari chipukizi na mtaalamu wa kurekodi muziki. Uraibu wake ni...
Mary Ndindi Mbeti, 23, ni mwanamitindo eneo la Diani, Mombasa na mtaalamu wa masuala ya utalii. Anapenda kutalii, kuogelea na kupika....
Everlyne Kisilu ni mwanamitindo jijini Nairobi. Anapenda kusafiri, kusakata densi na kutazama filamu. Picha/ Richard Maosi
Soulmates Eric and Shelly are brutally murdered when the...
When tech billionaire Slater King meets cocktail waitress...
While scavenging the deep ends of a derelict space station,...