Hilda Motanya 30, ni mwanafasheni katika Kaunti ya Uasin Gishu. Yeye ni mshindi wa tuzo ya Miss Red Cross Kenya. Anapenda kujumuika katika...
Rahab Ngari 24, ni mwanafunzi wa uanahabari katika Chuo Kikuu Cha Mount Kenya Nakuru. Uraibu wake ni kutazama filamu na kucheza voliboli....
Alice Kinogu 26, ni mzaliwa wa Kaunti ya Lamu, yeye ni tabibu kutoka jiji la Nairobi. Anapenda kupiga picha na kusoma mashairi....
Carol Jordan 27, amebobea katika sekta ya utalii na mikahawa. Yeye ni mkazi wa kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kujumuika na marafiki na...
Gladys Muthoni ni mwanafunzi wa uanahabari kutoka Chuo Kikuu Cha Chuka, amefikisha miaka 25. Uraibu wake ni kuogelea na kusakata densi....
Faith Kwamboka mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia ukurasa wetu leo, yeye ni mzawa wa eneo la Freearea Kaunti ya Nakuru. Anapenda...
Joyce Spencer Gakuru amefikisha miaka 23, yeye ni mzaliwa wa Ol-Kalou kaunti ya Nyandarua.Mara nyingi anapenda kushiriki katika majukwaa...
Dee Tanui amegonga miaka 23, ni mzaliwa wa eneo la Mogotio kaunti ya Baringo. Uraibu wake ni kusakata densi ya Salsa katika kumbi...
Esther Wanjiri ni mwanafunzi wa uanahabari katika Chuo kimoja mjini Nakuru. Kwa sasa amefikisha miaka 23. Uraibu wake ni kusikiliza muziki...
Monica Wanjiru 24 ,ni mkaazi wa Molo, na mwanafunzi katika taasisi ya KMTC. Uraibu wake ni kusafiri na kuogelea. Picha/Richard Maosi
Soulmates Eric and Shelly are brutally murdered when the...
When tech billionaire Slater King meets cocktail waitress...
While scavenging the deep ends of a derelict space station,...