• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 4:54 PM

Ashangaza kuambia korti bangi humpa motisha kulima shambani  

NA TITUS OMINDE MWANAMUME aliyepatikana na bangi Eldoret, alishangaza korti akijitetea kuwa ‘dawa’ hiyo haramu ya kulevya humpa...

Wanaume Makutano-Mwea walia kuporwa na makahaba wakiponda raha

NA MWANGI MUIRURI   VISA vya wanaume wanaosaka huduma za ngono kuporwa na kuachwa wakiwa hoi na makahaba Mji wa Makutano ulioko mpakani...

Vitisho vya viongozi na wandani vyaweka raia pabaya

NA MWANGI MUIRURI MAKABILIANO mitaani kati ya wafuasi wa viongozi kwenye serikali na wale wa Azimio yananukia Jumatano ijayo baada ya...

Makahaba wa mijini wakubali mavuno ya shambani, wahamasishana kuhusu maradhi ya zinaa

NA MWANGI MUIRURI MAKAHABA katika baadhi ya miji ya hapa nchini wamezindua mpango wa kupokea mavuno ya mimea kutoka kwa wateja wao...

NMG yapiga jeki Mbogolo ECD kwa msaada wa vitabu

NA ALEX KALAMA ZAIDI ya wanafunzi 70 kutoka shule ya chekechea ya Mbogolo ECD Center iliyoko wadi ya Ganda katika eneobunge la Malindi...

Tatuwasco yapokea tuzo kwa usambazaji mzuri wa maji

NA LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya kusambaza maji ya Tatuwasco imeteuliwa kama kampuni ya kibinafsi inayotoa huduma bora kwa wateja wake huu...

Maisha ya binadamu yana thamani kuliko maua, Sifuna amwambia Murkomen

NA WINNIE ONYANDO SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna amelaani hatua ya Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen ‘kuomboleza’ maua...

Mandago adai Gavana Bii alirithi Sh104 milioni za mpango wa elimu ng’ambo

NA JARED NYATAYA ALIYEKUWA Gavana wa Uasin Gishu na Seneta wa sasa wa kaunti hiyo Jackson Mandago ametofautiana na Gavana Jonathan Bii...

Wanafunzi 500 Landi Mawe wapokea basari, wahimizwa watie bidii masomoni

NA SAMMY KIMATU WANAFUNZI zaidi ya 500 kutoka familia maskini katika wadi ya Landi Mawe, eneobunge la Starehe wamepigwa jeki kielimu...

Maandamano ya Azimio: Mathare, ni mguu niponye waandamanaji wakikabiliana na polisi

NA NYABOGA KIAGE MTAA wa mabanda wa Mathare, Nairobi taswira Jumatano, Julai 12, 2023 ni ya mguu niponye kufuatia makabiliano makali...

Itumbi akata rufaa kupinga kuharamishwa kwa nyadhifa 50 za CASs

NA RICHARD MUNGUTI MTALAAMU wa masuala ya kidijitali Dennis Itumbi amekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kuharamisha nyadhifa za...

Wakazi watilia shaka usalama wao kambini Juhudi Primary

NA KALUME KAZUNGU WAKIMBIZI waliotoroka mashambulio ya Al-Shabaab vijijini na ambao wamepiga kambi kwenye Shule ya Msingi ya Juhudi,...