• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM

Onyo magavana wakome kuenda kwenye vikao vya seneti na rundo la maafisa 

NA COLLINS OMULO KAMATI ya Seneti imewaonya magavana wanaofuja fedha za umma kwa kusafirisha idadi kubwa ya wajumbe kuliko inavyohitajika...

Kamati ya Mazungumzo yapendekeza MCAs kupata mgao kuendeleza wadi

NA MARY WANGARI KAMATI ya Mdahalo wa Kitaifa (NADCO) imependekeza Hazina ya Maendeleo katika Wadi (WDF) ibuniwe na kutambuliwa...

Masoja waomba kumiliki bastola badala ya nyongeza ya mshahara 

NA RICHARD MAOSI BAADHI ya kampuni zinazotegemea ulinzi wa mabawabu nyakati za usiku zinaomba serikali kuzipa vibali kumiliki bastola,...

Wakulima wageukia kufuga nyukli kutimua wezi wa mazao shambani

NA RICHARD MAOSI. WAKULIMA wadogo vijijini wameanza kukumbatia mfumo wa kufuga nyuki ili kukabiliana na wezi ambao wamekuwa wakivamia...

Ruto asema serikali itaanza kukopa mama mboga na wahudumu wa bodaboda pesa

NA RICHARD MAOSI RAIS William Ruto amesema serikali itaanza kutafuta mikopo kutoka kwa akaunti za Wakenya. Wale ambao wamewekwa...

Kaunti kuvuna Ripoti ya Kamati ya Mazungumzo ikipendekeza mgao wake usipungue asilimia 20

NA SAMMY WAWERU SERIKALI za Ugatuzi ni kati ya asasi zinazotarajiwa kuvuna pakubwa kupitia Ripoti ya Kamati ya Mazungumzo (NADCO),...

Athari za El Nino: Mkurupuko wa Kipindupindu Lamu wasababisha hoteli na mikahawa kufungwa

NA KALUME KAZUNGU MIKAHAWA na hoteli zaidi ya 20 zimefungwa huku wachuuzi wa vyakula vya barabarani wakifurushwa vichochoroni katika...

Wakenya kuendelea kuumia Kamati ya Kitaifa kuhusu Mazungumzo ikifeli kutoa mwelekeo kushusha gharama ya maisha

NA CHARLES WASONGA HATIMAYE Kamati ya Kitaifa kuhusu Mazungumzo (NADCO) imetoa ripoti yake ya mwisho lakini imefeli kukubaliana kuhusu...

Wetang’ula ataka kaunti zitumie pesa kwa nidhamu ya juu

NA WYCLIFFE NYABERI Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amezitaka serikali za kaunti kutumia rasilimali wanazopewa na serikali ya...

Miili ya vibarua watatu waliozama majini wakizibua mtaro Mombasa bado yatafutwa

Na WINNIE ATIENO SERIKALI ya kaunti ya Mombasa ikiongozwa na waziri wa uchukuzi Bw Dan Manyala, imeeleza kuwa shughuli za kuopoa miili ya...

KNEC yakiri kulikuwa na dosari katika matokeo ya KCPE

NA WINNIE ONYANDO BARAZA la Mitihani nchini (KNEC) Jumamosi Novemba 25, 2023 lilikiri kulikuwa na dosari katika matokeo ya mtihani wa...

Polisi wawili kusotea jela kwa kujaribu kuzuia kukamatwa kwao kuhusu ulaji hongo

Na RICHARD MUNGUTI MAAFISA wawili wa polisi waliopatikana na hatia ya kupokea hongo ya Sh200,000 na kuvuruga utendakazi wa maafisa wa...