NA MWANDISHI WETU MUUNGANO wa Azimio Jumatano umewasilisha barua ya kuandamana mnamo Jumatatu na Alhamisi wiki ijayo, katika afisi ya...
NA MERCY KOSKEI KUNA uwezekano kuwa shinikizo nyingi kwa walimu wakuu kuboresha matokeo kwenye Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne...
NA RUTH MBULA RAIS William Ruto anatarajiwa kuzuru eneo la Gusii kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi mkuu uliopita Ijumaa hii. Rais...
Na RUSHDIE OUDIA MAMA yake mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Maseno aliyeuawa Jumatatu wakati wa maandamano ya Upinzani, amesikitika na kusema...
Na DOMINIC OMONDI RAIS William Ruto, Naibu wa Rais Rigathi Gachagua na Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi wametengewa Sh802 milioni kununua...
NA GEORGE MUNENE MTU mmoja amefariki huku wengine 365 wakikimbizwa hospitalini baada ya kula nyama ya ng’ombe anayedaiwa alikuwa akiugua...
NA SAMMY WAWERU KIONGOZI wa Narc-Kenya Martha Karua amenyooshea kidole cha lawama chama cha UDA kwa kile anadai kutumia wafuasi wake...
NA SAMMY WAWERU WAANDAMANAJI wawili walifariki Jumatatu wakati wa maandamano ya Azimio la Umoja. Akizungumza Jumanne jijini Nairobi...
NA CHARLES WASONGA WABUNGE na Maseneta wa muungano wa Kenya Kwanza sasa wanapendekeza kukamatwa na kushtakiwa kwa kiongozi wa upinzani...
NA LAWRENCE ONGARO SHIRIKA la Kenya Aids NGO Consortium (KANCO) na idara ya afya ya umma zimejitolea kuangazia maswala ya watoto wa...
NA CHARLES WASONGA MASHIRIKA ya kijamii yamelaani vikali hatua ya maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi wakati walikuwa...
NA SAMMY KIMATU SHUGHULI zimesimama siku nzima katikati mwa jiji huku Polisi wakiwa na mchezo wa paka na panya kuwatawanya...