NA RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Rufaa Ijumaa imetupa kesi ya Bw Dennis Itumbi aliyeomba korti itoe maagizo ya kuruhusu Mawaziri Wasaidizi...
Na WANGU KANURI SHIRIKA la Umeme, Kenya Power lilitangaza kuwa hakutokuwa na stima Ikulu ya Rais kutoka saa tatu hadi saa kumi na moja...
JULIANS AMBOKO Na PETER MBURU WAMILIKI wa biashara ndogo kama vile mama mboga na wahudumu wa bodaboda ni miongoni mwa Wakenya...
NA CHARLES WASONGA BEI ya unga inatarajiwa kuendelea kupanda ikiwa wabunge watapitisha Mswada wa Fedha wa 2023. Hii ni kufuatia pendekezo...
NA MERCY KOSKEI MZEE wa miaka 69 kutoka Kaunti ya Nakuru amewashangaza wengi baada ya kufunga safari kwa miguu ili kuhudhuria sherehe ya...
Na WANGU KANURI BABU OWINO, mbunge wa Embakasi Mashariki aliongoza orodha ya wabunge 20 walioratibiwa katika utendakazi wao miezi minane...
NA FARHIYA HUSSEIN WAZIRI wa Usalama wa Ndani Prof Kithure Kindiki mnamo Alhamisi amefungua rasmi awamu ya pili ya shughuli ya upasuaji...
NA ALEX KALAMA AWAMU ya pili ya upasuaji wa maiti za wahanga wa imani potovu inatarajiwa kuanza leo Alhamisi katika mochari ya Hospitali...
NA PHILIP MUYANGA KINARA wa Mawaziri Musalia Mudavadi (pichani) mnamo Jumatano aliwataka Wakenya wawe wavumilivu na kuridhia kuongezewa...
NA BENSON MATHEKA SERIKALI itatumia mabilioni kuanzisha kitambulisho cha kidijitali cha kitaifa hata kabla ya kadi ya Huduma Namba...
NA JOSEPH OPENDA ALIYEKUWA kiongozi wa kundi lililopigwa marafuku la Mungiki, Maina Njenga amefikishwa katika Mahakama ya Nakuru leo...
NA ALEX KALAMA MAAFISA wanaosimamia operesheni ya kuwatafuta manusura waliosalia ndani ya msitu wa Shakahola na ufukuaji wa makaburi...