• Nairobi
  • Last Updated May 29th, 2023 9:37 PM

Mkurugenzi wa Kebs mashakani kwa wizi wa sukari hatari

Na RICHARD MUNGUTI MENEJA Mkurugenzi wa Shirika la Ukadiriaji wa Ubora wa Bidhaa Nchini (Kebs) Bernard Njiru Njraini na maafisa wakuu wa...

Mahakama Kuu yaonya jopo la uchunguzi Shakahola

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu imeyumbisha tume iliyoteuliwa na Rais William Ruto kuchunguza mauaji ya mamia ya waumini katika msitu wa...

Washukiwa saba wanaswa kwenye operesheni dhidi ya pombe haramu, mitambo ya kamari

NA SAMMY KIMATU POLISI katika eneo la Makadara wameendeleza vita dhidi ya pombe haramu ambapo kwenye operesheni ya hivi punde wamenasa...

Kiongozi wa zamani wa Mungiki mafichoni akisakwa na DCI

Na WANGU KANURI MAAFISA wa upelelezi wa jinai (DCI) Nakuru wanamtafuta aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la mungiki, Maina Njenga,...

Katibu Esther Ngero ajiuzulu kazi serikalini

NA MWANDISHI WETU KATIBU wa Idara ya Huduma za Urekebishaji Tabia Esther Ngero amejiuzulu kwa sababu za kibinafisi wiki moja tu baada ya...

Wazee wa Kaya wadai kumiliki shamba la Mackenzie

Na ALEX KALAMA KUNDI la wazee wa Kaya eneo la Magarini, Kaunti ya Kilifi limejitokeza na kudai kumiliki ardhi yenye ukubwa wa ekari 800...

Maafisa wa Kamati ya Makabidhiano ya Afisi ya Gavana wamulikwa kuhusu madeni

NA MARY WANGARI MAAFISA wa Kamati inayosimamia Makabidhiano ya Afisi ya Gavana wamemulikwa kuhusiana na madai ya kupachika bili bandia...

Akaunti za Pasta Ezekiel Odero kufunguliwa

Na RICHARD MUNGUTI MHUBIRI Ezekiel Ombok Odero wa Kanisa la New Life Church and Prayer Center, ana kila sababu ya kutabasamu baada ya...

Kenyatta: Ningali kiongozi wa Jubilee

NA SAMMY WAWERU MVUTANO wa uongozi katika chama cha Jubilee unaendelea kutokota Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akiwataka wapinzani wake...

Raila: Uhuru ni shujaa kwa kuhepa vitisho na kuandaa mkutano

Na WANGU KANURI KINARA wa upinzani, Raila Odinga amemshukuru aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta kwa kusimama imara na kuhepa vitisho vyote...

Karua amshambulia Ruto kuhusu ushuru

Na WANGU KANURI MARTHA Karua alimshambulia Rais William Ruto wakati wa Kongamano la Kitaifa la Jubilee, kuhusu pendekezo la kutoza na...

Uhuru Kenyatta: Sitishiki licha ya kondoo wangu kuibwa

NA SAMMY WAWERU RAIS mstaafu Uhuru Kenyatta amevunja kimya chake kufuatia uvamizi wa shamba lake Machi 2023. Akikashifu baadhi ya...