• Nairobi
  • Last Updated April 12th, 2024 5:55 PM

Ruto aanza kupigia debe Raila apate kiti cha AUC

Na JUSTUS OCHIENG JUHUDI za Rais William Ruto za kumvumisha kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga kama chaguo bora kwa...

Aliyepandikiziwa figo ya nguruwe aruhusiwa kwenda nyumbani

WASHINGTON DC, AMERIKA NA MASHIRIKA MWANAUME wa kwanza kupandikizwa figo iliyobadilishwa vinasaba kutoka kwa nguruwe aliruhusiwa kwenda...

Spika wa Bunge ajiuzulu akitarajia kunyakwa wakati wowote kwa tuhuma za ufisadi

JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI NA MASHIRIKA SPIKA wa Bunge la Afrika Kusini Bi Nosiviwe Mapisa-Nqakula alijiuzulu wadhifa wake baada ya...

Faye amteua mwandani wake kuwa Waziri Mkuu muda mfupi baada ya kuapishwa

DAKAR, Senegal Na MASHIRIKA RAIS mpya wa Senegal Bassirou Diomaye Faye amemteua mwanasiasa shupavu na mwandani wake, Ousmane Sonko...

Wazazi wataka madereva wa shule wachunguzwe umri, afya kufuatia ajali za kutisha

NA WINNIE ATIENO WAZAZI wameitaka serikali ya kitaifa kuchunguza madereva wa magari ya shule zote za umma ikiwemo msingi, sekondari na...

Wakulima wa miraa wahangaika kufuatia watumiaji kuhamia kwa ‘Muguka’

NA DAVID MUCHUI WAKULIMA wa miraa katika Kaunti ya Meru sasa wanaitaka serikali kuharakisha mikakati ya ufufuzi wa kilimo cha zao hilo,...

Maswali yaibuka Gavana Mwadime ‘Wakujaa’ akisalia kimya baada ya waziri wake kutimuliwa

NA LUCY MKANYIKA KIMYA cha Gavana Andrew Mwadime wiki moja baada ya kuondolewa kwa Waziri wa Ardhi na bunge la Kaunti ya Taita Taveta, Bi...

Washukiwa wa wizi wa watoto Eldoret wazuiliwa

NA TITUS OMINDE POLISI mjini Eldoret wamefichua mtandao wa washukiwa wa ulanguzi wa watoto ambapo wafanyakazi wa hospitali ya kibinafsi...

Hukumu ya ajabu padri mnajisi akipewa kifungo cha kuhubiri dhidi ya dhuluma za kimapenzi

NA BRIAN OCHARO PADRE wa Kanisa Katoliki mjini Mombasa aliyepatikana na hatia ya kumdhulumu kingono msichana mwenye umri wa miaka 16,...

Iko wapi gesi ya Sh500? Kilio mtungi wa kilo 13 ukiongezeka hadi Sh3,231

KABUI MWANGI NA WANDERI KAMAU BEI ya gesi ya kupikia iliongezeka na kufikia Sh3, 231 kwa mtungi wa kilo 13 mnamo Machi, mwelekeo ambao ni...

KNH kuzika miili 541 wenyewe wasipoenda kuichukua

Na HILARY KIMUYU HOSPITALI ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) inapanga kuzika maiti za watu 541 zilizoko kwenye hifadhi ikiwa jamaa zao...

Afueni kwa wake wa pili wakipata idhini kuzika mume

NA RICHARD MUNGUTI MKE wa pili katika ndoa yenye zaidi ya bibi mmoja sasa atakuwa huru kuzika mumewe. Afueni hii kwa wake wa pili,...