• Nairobi
  • Last Updated September 26th, 2023 10:25 PM

SHINA LA UHAI: Mabadiliko ya tabianchi yanavyochangia ongezeko la maradhi Afrika

NA PAULINE ONGAJI KATIKA kitongoji duni cha Kangemi, Kaunti ya Nairobi, Bi Beth* anaendelea kupokea matibabu dhidi ya maradhi ya kifua...

Alice Wangui Munyua: Mtaalamu wa afya na mwandishi hodari

NA MAGDALENE WANJA BI Alice Wangui Munyua alizaliwa katika kijiji cha Gichichi, eneobunge la Othaya katika Kaunti ya Nyeri. Ndoto...

DKT FLO: Nakerwa na hali ya mchumba wangu kukoroma anapolala

Mpendwa Daktari, Mchumba wangu hukoroma sana anapolala, jambo ambalo hunikera sana. Suluhu ya kudumu kwa tatizo hili ni ipi? Ezrah,...

SHINA LA UHAI: Tahadhari minyoo huathiri wakubwa kwa wadogo

NA WANGU KANURI WAKENYA zaidi ya milioni 10 wanaugua maradhi ya minyoo huku wengine milioni 16 wakiwa kwenye hatari ya kuugua maradhi...

Manufaa ya mafuta ya mbegu nyeusi ambazo kwa jina la kisayansi ni Nigella sativa

NA MARGARET MAINA [email protected] MAFUTA ya mbegu nyeusi, ambazo zinajulikana kisayansi kama Nigella sativa, yana bioactive...

Tabia na hali zinazohusishwa na ugonjwa wa mishipa ya moyo na namna unavyoweza kuzirekebisha

NA MARGARET MAINA [email protected] Kuwa na uzani kupindukia KUWA na uzani au uzito wa ziada kunaweza kusababisha kuongezeka...

Vyakula vinavyoweza kuwasaidia walio na ugonjwa wa jongo (Gout)

NA MARGARET MAINA [email protected] JONGO ni ugonjwa wa yabisi unaotokea wakati asidi ya uric inapojikusanya na kutengeneza...

BORESHA AFYA: Vitamini, madini na virutubisho bora vya kuimarisha mfumo wa kinga

NA MARGARET MAINA [email protected] MFUMO wa kinga ni safu moja ngumu, yenye nguvu ya ulinzi inayolinda mwili dhidi ya vitu vya...

BORESHA AFYA: Vitamu visivyoleta madhara mwilini

NA MARGARET MAINA [email protected] KWA upande mmoja, pipi na kitindamlo kitamu lakini kwa upande mwingine, huwa na sukari...

Mwanasaikolojia Faith Gichanga ataka kampuni, watu binafsi kuchukulia kwa uzito huduma za ushauri nasaha

NA MAGDALENE WANJA MARUFUKU ya usafiri na kwenda kazini yaliadhiri watu wengi kisaikolojia wakati wa kanga la Covid-19. Baadhi ya...

Mtaalam anayewashauri wagonjwa jinsi ya kutumia vifaa vya sauti masikioni

NA MAGDALENE WANJA BI Wairimu Mwangi ni mtaalam wa maswala ya masikio na sauti (clinical audiologist), kazi ambayo amaifanya kwa muda wa...

Mtindo bora wa maisha yasiyo na shinikizo hatari

NA MARGARET MAINA [email protected] DUNIANI leo hii mwanadamu ana shughuli nyingi zaidi pengine kuliko nyuki. Hata hivyo,...