• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 10:55 AM

Vijana waliozoea kula vya haramu kwa uhalifu wasema ukusanyaji taka umefanya jamii kuwakubali

NA FRIDAH OKACHI VIJANA wanne kwenye kundi linalojiita 'Kifagio' wamenufaika na mradi wa kuokota taka. Vijana hao ambao shughuli zao ziko...

Haya machenza ya kwake yanasubiri kuchumwa tu!

Na PETER CHANGTOEK KAUNTI ya Makueni inatambulika mno nchini kwa ukuzaji wa mimea ya matunda, kama vile michenza, miembe na michungwa....

Wakimbizi wanavyofaulu kuvuna donge jijini licha ya changamoto ya uraia

NA LABAAN SHABAAN Annociate Dusabe, 27, ni mmoja wa wakimbizi zaidi ya 80, 000 wanaosaka tonge na makao jijini Nairobi na safari yake ya...

Tanzania yatesa soko la kitunguu kwa ‘kususia’ kilimo

NA MWANGI MUIRURI WAKULIMA, madalali na wachuuzi wa kitunguu nchini wanaendelea kuvuna pato la juu lililoongezeka hadi kwa asilimia 875...

Wafugaji ng’ombe wa maziwa Gatundu waelimishwa kuhusu manufaa ya upandikizaji wa mbegu

NA LAWRENCE ONGARO WAFUGAJI wa ng'ombe wa maziwa wapatao 500 kutoka Gatundu walikongamana kwa mkutano wa hamasisho kuhusu ufugaji ambapo...

MITAMBO: Mtambo unaosaidia wakulima kufunga vitita vya nyasi

NA RICHARD MAOSI MTAMBO wa baler hutumika kushindilia nyasi na hatimaye kuunda vitita vya nyasi. Nyasi hizo maarufu kama hay, ni...

ZARAA: Nyasi maalum inayopatia wafugaji matumaini tele

NA LABAAN SHABAAN JOSEPH Mwangi, Burton Githaiga na John Karia ni wataalamu wa uhandisi, sheria na mazingira mtawalia ambao...

Anavyovuna katika biashara ya kuchoma nyama  

NA SAMMY WAWERU IDADI ya watu ulimwenguni ikikadiriwa kuongezeka kwa kasi ifikapo 2050, ulaji nyama unatarajiwa kuongezeka mara...

Covid-19 ilivyogeuza ufugaji nguruwe kuwa kampuni

NA SAMMY WAWERU DAIICHI Farm Ltd ni kampuni inayojishughulisha na usindikaji (processing) wa nyama za nguruwe katika Kaunti ya Meru....

Polisi mchoraji ahimiza wenzake watumie talanta kuzima msongo wa mawazo

NA MAGDALENE WANJA ELIJA Gakuya alikuwa tu amehitimu na cheti cha Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU), alipoona tangazo kwenye...

Empower Smart yabuni apu ya kudhibiti ‘pocket money’

Na MAGDALENE WANJA KUKIDHI mahitaji ya mwanafunzi chuoni sio jambo rahisi kwa mzazi mwenye watoto zaidi ya mmoja. Changamoto kuu huwa...

Gesora Mwasi: Kuuza bidhaa mitandaoni kwahitaji ubunifu wa hali ya juu

NA MAGDALENE WANJA Je, ushawahi kufahamu manufaa ya kuwa mkwasi katika matumizi ya mitandao? Kijana Gesora Mwasi alianza kuvuna hela...