• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Wanafuga samaki wa kiume pekee kufungia nje ushindani

NA PETER CHANGTOEK KATIKA umbali wa kilomita takribani 60 kutoka jijini Nairobi, shamba moja la ufugaji samaki linatambulika kwa wengi....

UJASIRIAMALI: Ana magari ya wateja kulipia wayatumie kwa muda fulani

NA MAGDALENE WANJA BAADA ya kufanya biashara za aina mbalimbali, ikiwemo ya mitumba, Bw Simon Kibe aligundua kuwa kulikuwa na pengo...

ZARAA: Kifaa cha mkono kuchuma chai, kupunguza gharama

NA SAMMY WAWERU MOJAWAPO ya changamoto kuu inayogubika wakulima wa majanichai eneo la Githunguri, Kaunti ya Kiambu ni gharama ya...

MITAMBO: Mseto wa mitambo 2 kuandaa lishe kamilifu

NA RICHARD MAOSI UHAKIKA wa kupata malisho ni mojawapo ya changamoto zinazowakumba wakulima na wafugaji hasa kipindi hiki cha ukame. Hii...

Ufugaji bata wanawiri kupitia lishe ya wadudu

NA LABAAN SHABAAN UKIINGIA katika shamba la Ololo eneo la Kajiado Kaskazini kilomita 25 kutoka Jiji la Nairobi, utakaribishwa na sauti za...

ZARAA: Atambua vinyonga ni dawa ya wadudu shambani

NA SAMMY WAWERU SHAMBA la Charles Mburu ni bustani ya mseto wa matunda, mengi akiwa anayakuza kwa minajili ya biashara. Limesheheni...

UJASIRIAMALI: Msanifu stadi, kazi ameweka blockcheni

NA MARGARET MAINA WAKATI hafanyi kazi na Naivaa, chapa ya mitindo aliyoianzisha alipokuwa akisoma katika Chuo Kikuu cha Manchester, Joel...

ZARAA: Kazi ilikosekana, akajipa ya ukulima na wala hajuti

NA PETER CHANGTOEK BAADA ya kusaka ajira kwa muda mrefu pasi na mafanikio, Jackson Sawe aliamua kujitosa katika ukuzaji wa...

UJASIRIAMALI: Jukwaa la kuwapa fursa watu wenye uwezo wa kawaida kujiamini, kupata kazi

NA MAGDALENE WANJA KATIKA masomo yake ya shule ya upili, Bryan Chesoli alitambulika kama mwanafunzi wa kiwango cha kawaida tu. Jambo...

UJASIRIAMALI: Watumia teknolojia kupata wateja wa mboga na matunda salama kwa afya

NA MARGARET MAINA URAFIKI wa Seif Waziri, 25, na Paul Rugendo, 23, ulianza mwaka wa 2017 wakiwa chuoni na umekua hadi wakaanza kufanya...

UJASIRIAMALI: Jinsi Shiru Ndirangu anavyopiga hatua kwa kuuza matunda na mboga nje ya nchi

Na MAGDALENE WANJA NDOTO ya Shiru Ndirangu tangu utotoni ilikuwa ni awe rubani ila hakupata nafasi ya kusomea kazi hiyo baada ya...

UJASIRIAMALI: Ufugaji sungura wenye tija

NA MARGARET MAINA [email protected] UFUGAJI wa sungura nchini Kenya unaendelea kuimarika kila siku. Siku hizi sungura hufugwa...