• Nairobi
  • Last Updated December 3rd, 2023 8:00 PM

UFUGAJI: Afurahia ufugaji kuku wa mayai licha ya visiki vingi

NA SAMMY WAWERU PRISCA Njeri amekuwa katika biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai kwa zaidi ya miaka saba. Aliingilia ufugaji bila...

Yeye hugeuza uchafu kuwa sanaa inayolipa

NA LABAAN SHABAAN KELVIN Kilonzo, 28, hakufaulu kuendeleza kisomo chake zaidi ya kiwango cha shule ya upili. Katika kusaka njia ya...

ZARAA: Aliachana na mahindi kahawa iliponyanyuka

NA PETER CHANGTOEK KAUNTI ya Narok hujulikana kwa uzalishaji wa ngano, mahindi na viazi. Hata hivyo, kuna wakulima walioacha ukuzaji...

UFUGAJI: Wachina huwania nyama ya sungura wao kila wakati

NA PETER CHANGTOEK UFUGAJI wa sungura ni shughuli ambayo inaweza kumfaidi mfugaji, hasa iwapo ataiendeleza kwa njia ifaayo. Sungura wana...

Jinsi ustawishaji wa maua na mimea ya kuvutia unavyompa kipato, utulivu wa moyo

Na MAGDALENE WANJA MNAMO Machi 2019, Bi Marlene Mweru, aliamua kugawa mimea na maua ambayo alikuwa amepanda hapo awali nyumbani kwao ili...

ZARAA: Makadamia yalishuka bei 2020, uongezeaji thamani ukamuokoa

NA SAMMY WAWERU UGONJWA wa Covid-19 ulipotua nchini Machi 2020, Wangui Ikahu ni mmoja wa wawekezaji katika sekta ya kilimo walioathirika...

UFUGAJI: Mbuzi wamemfungulia milango ya kulipa karo

NA JOHN NJOROGE WAKATI Harrison Simotwo alihamia boma lake jipya 1996 kutoka Baringo Kaskazini, alianza kufuga ng’ombe wa maziwa na...

Kilimo cha wadudu tiba ya udongo kwa zao bora

NA RICHARD MAOSI VERMICULTURE ni teknolojia ya kufuga wadudu wa aina ya earthworms kwa manufaa ya kurutubisha udongo kwa ajili ya kukuza...

UJASIRIAMALI: Kuchelewa kuwasili kwa zawadi yake Siku ya Wapendanao kuliamsha ari yake kujitosa kwa biashara ya maua

NA MAGDALENE WANJA BI Marion Wambui alikuwa katika kipindi cha mwanzo katika uhusiano wake na mumewe, na kama ilivyo kawaida kila mmoja...

KILIMO: Anapigiwa mfano kwa kuleta ukuzaji mzuri wa mboga

NA CHARLES ONGADI AGHALABU vijana wengi punde wamalizapo masomo yao ya Kidato cha Nne huwaza kupata kazi za ofisi ama kujitosa katika...

UFUGAJI: Ulemavu kwake si kikwazo, umempa nguvu ya kujituma

NA LABAAN SHABAAN FRANCIS Muiruri alilemaa kwa sababu ya ugonjwa wa polio akiwa mchanga. Sasa ni mume na baba wa mtoto mmoja na...

UJASIRIAMALI: Ni Kamishna Msaidizi aliye pia muundaji wa matofali

NA PETER CHANGTOEK DAWIN Orina amekuwa akitengeneza matofali kwa muda wa mwongo mmoja na nusu sasa. Yeye ni Kamishna Msaidizi wa kaunti...