• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 10:55 AM

UJASIRIAMALI: Kuchelewa kuwasili kwa zawadi yake Siku ya Wapendanao kuliamsha ari yake kujitosa kwa biashara ya maua

NA MAGDALENE WANJA BI Marion Wambui alikuwa katika kipindi cha mwanzo katika uhusiano wake na mumewe, na kama ilivyo kawaida kila mmoja...

KILIMO: Anapigiwa mfano kwa kuleta ukuzaji mzuri wa mboga

NA CHARLES ONGADI AGHALABU vijana wengi punde wamalizapo masomo yao ya Kidato cha Nne huwaza kupata kazi za ofisi ama kujitosa katika...

UFUGAJI: Ulemavu kwake si kikwazo, umempa nguvu ya kujituma

NA LABAAN SHABAAN FRANCIS Muiruri alilemaa kwa sababu ya ugonjwa wa polio akiwa mchanga. Sasa ni mume na baba wa mtoto mmoja na...

UJASIRIAMALI: Ni Kamishna Msaidizi aliye pia muundaji wa matofali

NA PETER CHANGTOEK DAWIN Orina amekuwa akitengeneza matofali kwa muda wa mwongo mmoja na nusu sasa. Yeye ni Kamishna Msaidizi wa kaunti...

Siri ya ufugaji nyuki ipo katika uongezeaji thamani

NA SAMMY WAWERU ASALI ni mojawapo ya mazao ya ufugaji yenye soko lenye ushindani mkuu. Samuel Muhindi na binamu yake, Martin Mwangi...

TUJIFUNZE THAMANI YA NYUKI: Wanachohitaji wafugaji ni hamasisho na mafunzo kuhusu ufugaji nyuki

NA SAMMY WAWERU KIWANGO cha asali tunayozalisha nchini kikiwa chini ya asilimia 20, ni bayana nafasi ipo kwa wenye ari ya kuingilia...

ZARAA: Mwalimu avuna faida za kuzamia kilimo

NA PETER CHANGTOEK KATIKA shamba la ekari saba na nusu katika eneo la Muani, kilomita tano kutoka Sultan Hamud, ukielekea Kasikeu,...

MITAMBO: Ni afueni mfumo wa kuunda bayogesi ukikata gharama

NA RICHARD MAOSI MATUMIZI ya bayogesi ni njia mojawapo ya vyanzo vya nishati kwa manufaa mbalimbali ya nyumbani. Gesi hii...

NJENJE: Afueni kwa wafugaji serikali ikitangaza kuondoa ushuru kwa mahindi ya manjano

NA WANDERI KAMAU WIZARA ya Kilimo imewaruhusu watu wanaotengeneza vyakula vya mifugo kuagiza tani 350,000 za mahindi ya manjano bila...

UJASIRIAMALI: Huduma za arafa zimemjengea jina

NA PETER CHANGTOEK ALIPOJIWA na wazo la kuianzisha kampuni yake, Robert Lang’at hakuwa na fedha za kutosha, na ilibidi aongezewe na...

UFUGAJI: Nguruwe wampatia maisha mapya baa iliposambaratika

NA LABAAN SHABAAN ANNASTACIA Gakuyu aliacha biashara ya baa mwaka wa 2020 baada ya kuathiriwa na mlipuko wa corona na kuingilia ufugaji wa...

MITAMBO: Mashini inayosaidia kupakia mazao na kuyahifadhi vyema

NA RICHARD MAOSI MKULIMA ambaye amejikita kwenye kilimo-biashara anaweza kukabili kero ya kupoteza mazao ya shambani kwa kutumia...