• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 3:42 PM

NJENJE: Rwanda sasa yaipita Kenya kwenye bei bora za majanichai

NA WANDERI KAMAU MAJANICHAI kutoka Rwanda yanaendelea kununuliwa kwa bei ya juu katika soko la kuuzia mazao la Mombasa, ikilinganishwa...

UBUNIFU: Ageuza taka kuwa mbolea

NA PETER CHANGTOEK TAKA huleta karaha mno, hususan zinapotapakaa na kusambaa kila mahali. Hata hivyo, kwa Joyce Waithira, taka...

UJASIRIAMALI: Hajaacha kufyatua matofali hata baada ya kupata kazi ya Kamishna Msaidizi

NA PETER CHANGTOEK DAWIN Orina amekuwa akitengeneza matofali kwa muda wa mwongo mmoja na nusu sasa. Yeye ni Kamishna Msaidizi wa...

Ufugaji mbwa wa ulinzi wamlipa tangu aache kazi ya matatu

NA SAMMY WAWERU KIJIJI cha Mugoya, kilomita tano kutoka mji wa Embu, Akilimali inakutana na Martin Gathungu akihudumia mbwa...

Profesa Oduor: Mifumo ya Bioteknolojia hupitia kaguzi za kina za Kisayansi kabla kuidhinishwa

NA SAMMY WAWERU MWANASAYANSI na Mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU) amewataka wakulima kupuuzilia mbali madai ya wakosoaji wa...

Aina mpya ya nyasi za mifugo yenye ubora wa hali ya juu

NA SAMMY WAWERU CHINI ya kipindi cha muda wa miaka mitatu mfululizo, wafugaji nchini wamekuwa wakipitia hali ngumu kutokana na gharama ya...

Wakulima wahimizwa kukuza miti ya matunda

NA SAMMY WAWERU HUKU serikali na wadauhusika wa mazingira wakiboresha mikakati kupanda miti nchini, wakulima wamehimzwa kukuza miti ya...

UFUGAJI: Ufugaji wa ndege aina ainati unavyompa kipato

NA PETER CHANGTOEK AMEKUWA akiwafuga ndege aina mbalimbali kwa muda wa miaka mitano. Vincent Muli, 30, anasema kuwa, ufugaji huo...

ZARAA: Mwalimu anayejituma ili kufufua kilimo cha kahawa

NA SAMMY WAWERU MATHIRA ni mojawapo ya maeneo yanayochangia uzalishaji wa kahawa nchini. Likiwa ndani ya Kaunti ya Nyeri, wengi wa...

ZARAA: Mfumo ulioboreshwa kuendeleza kilimo mijini

NA SAMMY WAWERU MOJAWAPO ya ajenda kuu za serikali ni kukabiliana na kero ya uhaba na usalama wa chakula nchini.  Hata ingawa...

Bidhaa zilizoundwa kwa maganda ya miwa, magazeti na vitabu kulinda mazingira

NA SAMMY WAWERU BIDHAA za plastiki zinakisiwa kuchukua miaka na mikaka kabla kuoza, zinapotupwa au kuzikwa udongoni. Ni uhalisia...

MITAMBO: Kifaa muhimu kwa wanaokuza matunda kupunguza hasara

NA RICHARD MAOSI MATUNDA kama vile mapapai, machungwa, maembe, ndizi na matufaha ni mojawapo ya mazao ambayo hukuzwa sana nchini...