• Nairobi
  • Last Updated December 9th, 2023 7:54 PM

DOMO: Mtu asiniambie kuhusu mapenzi

NA MWANAMIPASHO NDIO maana kila siku ya maisha yangu, huwa siyachukulii mapenzi kwa uzito. Sipendi kitu cha kunichanganya. Na kama...

KASHESHE: Bien atetea ‘wivu’ wa mkewe

NA SINDA MATIKO BIEN-Aime Baraza kamkingia mke wake dansa Chiki Kuruka kuhusiana na kisanga cha wikendi iliyopita. Staa huyo alikuwa...

KASHESHE: Elba aipa shavu KE

NA SINDA MATIKO MWIGIZAJI staa Idris Elba ameipa shavu Kenya, akiitaja kuwa moja kati ya sehemu anazozizimia. Kwenye mahojiano yake...

DOMO: Yani Insta Babes hawaishi visanga

NA MWANAMIPASHO WIKI hii imekuwa nzito kweli na yeye matukio kibao. Sio kwa baadhi yenu kuibuka na picha za uchi za binti...

KASHESHE: Zuchu ‘ajishtaki’

NA SINDA MATIKO MWANAMUZIKI wa lebo ya WCB Zuhura Othman almaarufu Zuchu kamtaka mumewe asiwe na matarajio makubwa sana juu yake hasa...

KIKOLEZO: Vita vya MCSK, KECOBO vyafikia patamu

NA SINDA MATIKO MALUMBANO kati ya shirika la Music Copyright Society Of Kenya (MCSK) na Bodi ya Hakimiliki nchini - Kenya Copyright...

KASHESHE: Nay aachilia ‘vawulence’

NA SINDA MATIKO RAPA asiyepima maneno Nay Wa Mitego amewatolea uvivu wasanii wa muziki wa Bongo ambao wamefanya tabia za kutoka...

KASHESHE: Amber Lulu apata sapoti

NA SINDA MATIKO MASTAA wa burudani Tanzania wameungana kumsaidia ex wake rapa CMB Prezzo, msupa mwanamuziki Amber Lulu. Juzi kati...

KIPWANI: Hawa Nadra wan’leta ile vibe ya ‘Tatuu’

NA SINDA MATIKO MARA ya mwisho kwa tasnia yetu kuwahi kushuhudia kundi la muziki la kina dada ilikuwa ni katika miaka ya 2000. Unakumbuka...

KIKOLEZO: Mwaka umeanza na ‘vipindiree’

NA SINDA MATIKO MWAKA umeanza na tayari tumeanza kuwaona maceleb waliolewa kiki wakianza tena kukimbizana na vipindi au ukipenda...

KIPWANI: Akothee afungua roho

NA SINDA MATIKO MWANAMUZIKI mtatanishi na mjasiriamali kutokea Mombasa Akothe Okeyo amekuwa akitrendi sio kwa sababu ya muziki wake ila...

DOMO: Huyu Syokau atatoboa?

NA MWANAMIPASHO NILIDHANI tunaanza mwaka kivingine. Nilijua tunaanza upya hasa kwenye tasnia yetu ya Showbiz. Aisee! Kumbe...