KIKOLEZO: Maisha na makeke ya General Defao

Na THOMAS MATIKO JUMANNE wiki hii, nyota mkongwe wa muziki wa rhumba na lingala Lulendo Matumona almaarufu General Defao, alimaliza...

Pixel Waite asema subira ni muhimu kwa kila msanii

Na JOHN KIMWERE NI msanii wa kizazi kipya anayelenga makuu katika sekta ya muziki wa injili barani Afrika. Dancan Ombima Ambuka...

KIKOLEZO: Wenzetu waliamua kwa dhiki au faraja

Na THOMAS MATIKO TUKIWA bado kwenye ile mudi ya funga mwaka, tunazidi kukumbushana tu matukio yaliyoyojiri 2021. Ukiachia mbali...

Filamu ya ‘Monica’ ilichangia ajiunge na uigizaji

Na JOHN KIMWERE NI kati ya chipukizi wanaopania kufanya makubwa katika tasnia ya burudani miaka ijayo. Tasnia ya uigizaji nchini...

Rusty Gee atumia mziki kupigana na mihadarati pia ubakaji

Na JOHN KIMWERE INGAWA bado hajapata umaarufu mkubwa katika jukwaa la muziki wa burudani ameibuka kati ya wasanii wanaozidi kujituma...

Grandie mpango mzima analenga kufika levo ya Lupita Nyong’o

Na JOHN KIMWERE NI kati ya waigizaji wanaoibukia ambao wamepania kujibiidisha wakipania kutinga upeo wa kimataifa miaka ijayo. Anaamini...

Shanky Abbs msanii anayefuata nyayo za baba’ke

Na JOHN KIMWERE ANASEMA kwamba amepania kujituma mithili ya mchwa anakolenga kuibuka kati ya wanamaigizo tajika miaka ijayo....

Chinese wakali wamlemea, uigizaji wampa ajira

Na JOHN KIMWERE Ni kati ya wanamaigizo wa kike wanaopania kufanya makubwa katika tasnia ya burudani miaka ijayo. Bila kuongeza chumvi...

KASHESHE: ‘Siri ya ndoa kunyenyekea’

Na PAULINE ONGAJI NYOTA wa injili Mercy Masika kafichua siri moja ya kuhakikisha ndoa inadumu kwa muda mrefu ni pale mwanamke anapokuwa...

KIPWANI: Dogo anayetikisa visiwa vya Lamu

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KUNA dhana kuwa wasanii wa kiume wakioa umaarufu wao hupungua hasa kutokana na kushindwa kutangamana na mashabiki...

DOMO: Ni kama ndrama, ni kama vindeo!

Na MWANAMIPASHO KENYA ni nchi speshio. Wakati mwingine huwa nakaa nakuwaza kama mataifa mengine hushuhudia drama ambazo sisi Wakenya...

KIKOLEZO: Utamu wa chai si rangi!

Na THOMAS MATIKO KATIKA kipindi hiki kigumu cha corona mastaa wengi nchini hasa waliokuwa kwenye ndoa na mahusiano, wamejikuta katika...