KASHESHE: Azimio la Muhando

NA SINDA MATIKO WIKI mbili zilizopita Rose Muhando alitrendi Kenya na kwao Bongo baada ya kudai kuwa yupo sokoni akisaka mume...

KASHESHE: ‘Mnikome!’

NA SINDA MATIKO ALIYEKUWA mke wake Rayvanny, amewataka mashabiki kuacha kumchamba baada ya uhusiano wao kuvunjika. Rayvanny alimtema...

KIPWANI: Kipaji chake gumzo mtaani

NA KALUME KAZUNGU “MARA nyingi mimi hutumia kipawa changu cha kuimba kuwafundisha wanafunzi wangu darasani. Ajabu ni kwamba mbinu hiyo...

DOMO: Malipo hapa hapa duniani!

NA MWANAMIPASHO KAMA kuna demu aliyeniacha hoi siku za hivi karibuni ni huyu Miss Mandi. Alitrendi kwa siku tatu mfululizo baada ya...

KIKOLEZO: Grammys zimebaki stori tu!

Na SINDA MATIKO MAKALA ya 2022 ya utoaji tuzo stahiki za muziki duniani, Grammys yaliyoratibiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu,...

Uchungu wa mama

Na SINDA MATIKO ZILE tetesi kwamba Diamond Platnumz anatoka na Zuchu zimeonekana kumchefua mamake mrembo huyo, mkongwe wa Taarab...

TikTok ndio kusema

NA THOMAS MATIKO HADITHI ya uvumbuzi wa TikTok mtandao maarufu zaidi kwa sasa duniani, inaanzia kwenye gereji moja kule...

KASHESHE: Diana B atakiwa afute kabisa mkanda

Na THOMAS MATIKO MAHAKAMA imetishia kumchukulia hatua kali mke wa msanii Kevin Bahati, endapo hataifuta video aliyopakia YouTube, akidai...

KIKOLEZO: Maisha na makeke ya General Defao

Na THOMAS MATIKO JUMANNE wiki hii, nyota mkongwe wa muziki wa rhumba na lingala Lulendo Matumona almaarufu General Defao, alimaliza...

Pixel Waite asema subira ni muhimu kwa kila msanii

Na JOHN KIMWERE NI msanii wa kizazi kipya anayelenga makuu katika sekta ya muziki wa injili barani Afrika. Dancan Ombima Ambuka...

KIKOLEZO: Wenzetu waliamua kwa dhiki au faraja

Na THOMAS MATIKO TUKIWA bado kwenye ile mudi ya funga mwaka, tunazidi kukumbushana tu matukio yaliyoyojiri 2021. Ukiachia mbali...

Filamu ya ‘Monica’ ilichangia ajiunge na uigizaji

Na JOHN KIMWERE NI kati ya chipukizi wanaopania kufanya makubwa katika tasnia ya burudani miaka ijayo. Tasnia ya uigizaji nchini...