• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 7:20 PM

Msanii aliyeonja kifungo bila hatia aendeleza mahamasisho ya amani

NA LABAAN SHABAAN KILA anapofurahia uhuru wake, yeye huMshukuru Mwenyezi Mungu na kumuomba hekima asije akajipata tena rumande ama...

Kang’ata awapa wenyeji Murang’a fursa ya ‘full kujiachia’

NA MWANGI MUIRURI GAVANA wa Murang'a Irungu Kang'ata mnamo Desemba 23, 2023, ataongoza wenyeji kupisha Krismasi katika densi...

Utamu wa Lamu ni maisha ‘simple’ ya matajiri kutembea miguu peku

NA KALUME KAZUNGU MARA nyingi, mja amekuwa akikadiriwa hadhi yake au tabaka lake na wengi kulingana na kiwango au mwonekano wake, hasa ...

Wanaokodi vyumba chini ya Airbnb wamulikwa kwa kuiba vyombo

NA RICHARD MAOSI WAMILIKI wa nyumba na vyumba vya kukodisha wakati wa likizo chini ya Airbnb wamefichua kwamba wanakadiria hasara kubwa...

Mwigizaji Bwire Ndubi aomba msaada wa kifedha kupata matibabu spesheli

NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI katika kipindi cha Sultana Bwire Ndubi almaarufu 'Dida', anaomba msaada wa kumsaidia kuchangisha Sh7 milioni...

Zari: Siwezi kurudiana na Diamond ila ni mshikaji wangu sana

NA RAJAB ZAWADI KAMA kuna ma-ex ambao wameendelea kuwavuruga mashabiki wao kuhusiana na ukaribu wao, basi ni soshiolaiti Zari Hassan na...

Nina wawili ila kwa sasa mwenzenu niko singo, adai Samidoh

NA FRIDAH OKACHI WATUMIAJI wa mitandao ya kijamii wanaofuatilia maisha ya wasanii wamebaki vinywa wazi baada ya mwanamuziki Samuel Muchoki...

Utafuatilia gozi la Liverpool dhidi ya Manchester United au mahojiano ya Rais Ruto kwa runinga?

NA MWANGI MUIRURI LEO Desemba 17, 2023, mwendo wa saa kumi na moja jioni, Arsenal na Brighton watakuwa ugani kusaka pointi za Ligi Kuu...

Wema Sepetu achukua hatua ya nadra kwa mwanamke wa kawaida

NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI Wema Sepetu amefanya uamuzi wa kumlea mtoto wa mpenzi wake Whozu na kumkubali kuwa wake. Anachukua uamuzi...

Nakubali tatizo ni mimi, Akothee asema akirejelea mahusiano yake yasiyodumu

NA SINDA MATIKO AKOTHEE anadai kuwa kujipenda kwake kupita maelezo ndio kumemkosti ndoa zake. Baada ya ndoa yake ya pili kudumu kwa miezi...

Oga Obinna: Namuombea Willy Paul arudi kwa Yesu, muziki wa kidunia haumfai

Na MWANDISHI WETU MWANAHABARI Steve Maghana almaarufu Oga Obinna amemshauri mwanamuziki Willy Paul kurejea katika uimbaji wa nyimbo za...

Mapenzi yamewatesa sana mastaa hawa, na hivi ndio wameamua kufanya…

NA SINDA MATIKO "NIMEAMUA kuupumzisha moyo wangu maana siku nyingi unateseka juu yangu. Kutwa kupelekwa puta na akili yangu eti kisa...