• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 1:47 PM

Itumbi asifiwa kwa kusimama na ‘rafikiye’ Jacque Maribe

NA FRIDAH OKACHI MSHAURI wa kisiasa katika Serikali ya Kenya Kwanza Dennis Itumbi amechangamsha wanamitandao kwa kupakia barua ndefu...

Jinsi Khalwale alivyotegua kitendawili cha familia pana

NA MARY WANGARI SENETA wa Kaunti ya Kakamega Boni Khalwale amezua gumzo nchini baada ya kuwatambulisha wake zake wanne akiwemo yule...

Wanafunzi Moi wakubaliana na sheria ya kuzima vimini

NA TITUS OMINDE KAULI kwamba 'vazi langu ni chaguo langu' haina nafasi katika Chuo Kikuu cha Moi kufuatia hatua ya usimamizi wa chuo...

Lupita Nyong’o azungumzia ugumu wa kuandaa filamu ya majitu yasiyopenda kelele

NA SINDA MATIKO MWIGIZAJI staa Lupita Nyong'o amezungumzia ugumu aliokumbana nao kwenye filamu mpya ya kuogofya itakayoachiwa Juni 2024...

‘Sapraizi’ ya Terence kwa mkewe Milly Chebby

NA FRIDAH OKACHI MCHESHI Lawrence Macharia almaarufu Terence Creative amempa mkewe Milly Chebby zawadi ya Sh300,000 kuonyesha...

Pacha Mtumishi na Mchungaji watemana, sababu hii hapa

NA SINDA MATIKO MCHEKESHAJI Mtumishi amekanusha tetesi za kuwa bifu ndio iliangamiza ushirikiano wake na pacha wake wa vichekesho...

Mtaalamu afichulia wanaume faida za kuoa wanawake wanaowazidi umri

NA FRIDAH OKACHI MSHAURI wa masuala ya ndoa Grace Kariuki amekubaliana na kauli yake mwanamuziki Guardian Angel kwamba kuna faida kubwa...

Mimi si maskini eti ndio naanzisha kanisa, nina gari la V8, asema mhubiri Sammy Irungu

NA WANDERI KAMAU SIKU chache baada ya kuanzisha kanisa lake katika mkahawa mmoja jijini Nairobi, mwanamuziki Sammy Irungu sasa amepuuza...

Akothee katika ziara ya hisia kali ‘nyumbani’ kwa kina Omosh

NA FRIDAH OKACHI MASHABIKI kwenye ukurasa wa mwanamuziki Esther Akoth almaarufu Akothee wamempongeza baada ya kutangaza atakuwa anaelekea...

Wa Mumbi amulikwa kwa kupeleka nyayo nyingi ukweni

NA MWANGI MUIRURI MAPENZI kati ya maharusi, mbunge wa Mathira Eric wa Mumbi na Mbunge Mwakilishi wa Kike wa Murang'a Betty Maina...

Akothee ni kielelezo kwangu licha ya tofauti za kifamilia – Cebbie Koks

NA FRIDAH OKACHI MSOMI Cebbie Koks Nyasego, ambaye ni dadake mwanamuziki Esther Akoth almaarufu Akothee, amethibitisha kuwepo kwa...

Hata kama mnaniita bikizee, mjue Guardian Angel ananipenda, asema Esther Musila

NA FRIDAH OKACHI MKE wa mwanamuziki wa nyimbo za injili Guardian Angel amewajibu wanaomkejeli kuwa atazeeka bila kujuta. Wiki hii,...