KASHESHE: Eti mtasubiri ndoa sana!

NA SINDA MATIKO SASA kama mlikuwa mnasubiria ndoa yake, basi mtasubiri sana sababu fisi Diamond Platnumz hana mpango wa kuoa hivi...

KIKOLEZO: Bazenga P Diddy

NA SINDA MATIKO HIVI wewe ulizaliwa kuwa nini? Leo ukitangulia mbele za haki tutakukumbuka kwa nini? Kuna watu walizaliwa kuwa...

Msanii wa nyimbo za injili anayesaidia watoto mitaani

NA PETER CHANGTOEK YEYE ni msanii wa nyimbo za injili ambaye amejitolea mno kulitukuza neno la Mungu kupitia kwa nyimbo zake. Aidha,...

KASHESHE: ‘Walinitilia sumu’

NA SINDA MATIKO HIVI unakumbuka kile kisanga cha Ommy Dimpoz kulazwa hospitalini akiwa hali mahututi miaka mitano iliyopita? Dimpoz...

KASHESHE: Mtazidi kuchonga

NA SINDA MATIKO PENZI la mwigizaji Frida Kajala na supastaa wa Bongo Flava Harmonize, linazidi kushika kasi ya 5G. Kajala sio tu...

KIPWANI: ‘Naishi, nalala, nanywa muziki!’

NA SINDA MATIKO "HIDAYA, Hidaya, Hidaya, haki natafuta mwana hidaya... Haki nikikumbuka nikicheza naye ndombolo, haki nikikumbuka...

DOMO: Msikizeni shangazi, ana neno!

NA MWANAMIPASHO HAHA! Eti ‘That Shawry for Viagra’, mnasema kafanyaje tena? Nilipomwona shangazi yenu akitrendi kule Twitter juzi...

KIKOLEZO: Walirejea baada ya kustaafu!

NA SINDA MATIKO JUZI Cristiano Ronaldo katangaza anauza ndege yake ya kibinafsi kwa sababu imekuwa ndogo kutokana na familia yake...

KIPWANI: Eti katulia ila umkutapo studio, ni balaa!

NA SINDA MATIKO SIJUI kama unamjua Sai Kenya. Nitakwambia baadhi ya watu maarufu wanaomfahamu. Yupo Marioo yule Mtanzania mwenye hiti...

Wasanii wa Kayole kuzindua filamu mpya mwezi huu wa Julai

NA JOHN KIMWERE WASANII wanaendelea kuungana ili kuzamia shughuli za kuzalisha filamu kwenye juhudi za kusaka mpenyo. "Mwaka 2020...

KASHESHE: Kauli ya Ben Pol

NA SINDA MATIKO MWANAMUZIKI wa Bongo Flava Ben Pol, hatamani tena ndoa kwa sasa baada ya mahusiano yake na binti Mkenya Anerlisa Muigai...

KASHESHE: Bado pasua kichwa!

NA SINDA MATIKO NDOA ya AliKiba na mkewe Mkenya Amina Khaleef bado haipo sawa. Toka taarifa za Amina kuwasilisha kesi mahakamani...