• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:15 PM

Oga Obinna ataka jamii kuwaonea huruma wanaume wanaochapwa kwenye ndoa

NA FRIDAH OKACHI MCHEKESHAJI Steve Thompson Maghana almaarufu Oga Obinna ameshauri Wakenya kukoma kuwacheka wanaumme wanaopigwa na wake...

Obama amwaga jumbe za kumsifia mkewe

NA WANDERI KAMAU MKEWE aliyekuwa Rais wa 44 wa Amerika, Barack Obama, Michelle Obama, alifikisha umri wa miaka 60 tangu kuzaliwa kwake...

‘Hatuna tamaa sana, wanaume wa Kenya ndio mkono gamu’

FRIDAH OKACHI Na WANDERI KAMAU BAADHI ya wanafunzi wa kike katika vyuo vikuu na wanawake wanaotafuta wachumba jijini Nairobi, wanaomba...

Mapenzi yamlemea maskini Mondi akitangaza yuko singo

NA FRIDAH OKACHI YAONEKANA mwanamuziki staa wa Bongo flava Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz ana mlima wa kukwea likija...

Mvunja mbavu Erico sasa aingilia ujenzi wa madaraja

NA FRIDAH OKACHI MCHEKESHAJI Eric Omondi almaarufu 'Erico' anaendelea kumiminiwa sifa mtandaoni kwa kujitolea kujenga daraja mojawapo...

Charlene Ruto ateuliwa balozi wa damu baada ya kunyamazia suala la ikiwa Daddy Owen ni wake damu damu

NA WANDERI KAMAU WAZIRI wa Afya Susan Nakhumicha, amemteua bintiye Rais William Ruto, Charlene Ruto, kuwa Balozi wa Damu...

Babu Owino amfagilia Stivo Simple Boy akipendezwa na bongo lake la biashara

NA FRIDAH OKACHI MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino amemtunuka sifa msanii na mwanamuziki Stivo Simple Boy akionekana kufurahishwa...

Esther Musila amuaibisha mwanamke tapeli aliyedai Guardian Angel ni mhanyaji

NA ELIZABETH NGIGI ESTHER Musila, mke wa mwanamuziki wa nyimbo za Injili Guardian Angel, amefichua jinsi mwanamke tapeli alivyotaka...

Embarambamba aomba ‘Style Mpya’

NA WANDERI KAMAU MWANAMUZIKI Chris Embarambamba, ameendelea kuzua utata, mara hii, akitoa wimbo 'Style Mpya’ ambapo anaomba staili au...

Tulimalizana na Raila kiungwana, hatukufika mahakamani – Sauti Sol

Na SINDA MATIKO KAMA utakuwa unakumbuka, Mei 2022 taifa likiwa linakaribia Uchaguzi Mkuu, bendi ya Sauti Sol iliiba vichwa vya habari...

Eddie Butita: Ukitafuta mapenzi kwa familia ‘high-class’ simu yako inanuswa

NA MWANGI MUIRURI MCHESHI Eddie Butita,31, 'amewawon' wasanii wa kiume dhidi ya kurusha mistari kwa warembo kutoka kwa familia zenye...

Miguna Miguna amrudisha Larry Madowo darasani

NA WANDERI KAMAU JE, alama anayopata mwanafunzi katika Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) ni ishara ya mafanikio atakayopata...