• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:58 PM

DJ Fatxo asema 2024 ni mwaka wa kumweka Mungu mbele

NA MWANGI MUIRURI BAADA ya kujipata pabaya mwaka 2023 alipohusishwa na kifo cha Jeff Mwathi, msanii tajika DJ Fatxo,27, sasa amekiri...

KCSE: Alinur Mohamed akemewa kudai E nyingi ni sababu ya walimu

NA FRIDAH OKACHI MWANASIASA na mfanyabiashara Alinur Mohammed, amekemewa vikali na watumiaji wa mitandao ya kijamii kufuatia chapisho...

Nitaanza kutoka na vibenten kwa jinsi mnavyonisema, atishia DJ Pierra Makena

NA RAJAB ZAWADI DJ Pierra Makena, mmoja wa washereheshaji wakongwe hapa nchini anakiri wazi wazi kwamba mashabiki na wafuasi wake...

Ssaru adai muziki ‘mchafu’ unamwingizia posho kuliko ule wenye maadili

Na RAJAB ZAWADI RAPA mwenye uwezo wa kuimba vile vile Sylvia Ssaru almaaarufu Ssaru wa Manyaru kadai sababu zake kupenda kutunga nyimbo...

Burudani: Waliovuma zama zao kuteseka hadi lini?

NA WANDERI KAMAU WASANII wengi waliovuma katika enzi zao nchini, sasa wanaishi katika hali ya upweke na mahangaiko, hali ambayo imeibua...

Waithaka wa Jane adai kwa muziki, wengi huzimiana nyota

NA MWANGI MUIRURI WAITHAKA wa Jane ambaye mashabiki wengi humtawaza kama Mfalme wa Mugithi kwa kumsawiri kama aliyemwondoa Samidoh...

Eve Mungai achapa kazi akifunika tetesi za penzi kuingia mdudu

NA FRIDAH OKACHI 'YOUTUBER' Mungai Eve anaendelea kufanya kazi yake kama kawaida licha ya kuwekewa presha aeleze mambo wazi kuhusu uvumi...

Miguna Miguna: Simba kwa mapenzi anatulia

NA FRIDAH OKACHI WAKILI Miguna Miguna ambaye kauli zake ni za kumkemea yeyote anayejaribu kujihusisha na ukiukaji Katiba, amepakia...

Faith Lukosi atia wivu wanawake wa Kenya kwa kudekezwa na mumewe hadharani

NA FRIDAH OKACHI WAKILI na mkurungezi wa Youth Enterprise Development Fund Faith Norah Lukosi, amemsifu mumewe, Bw Donald Juma, akitaka...

Ambia Samidoh akujengee boma lako, Karen Nyamu aambiwa

NA FRIDAH OKACHI WATOAJI maoni na wajuaji mtandaoni sasa wanamtaka Seneta Maalum Karen Nyamu amuombe mwanamuziki Samuel Muchoki almaarufu...

Wito serikali, mashirika yamnyanyue mwanahabari Kimani Mbugua

NA WANDERI KAMAU MNAMO Oktoba 2023, mamia ya Wakenya waliungana pamoja kumsaidia mwanahabari Kimani Mbugua, baada ya kukumbwa na msururu...

Justina Syokau afunga mwaka na drama zake

NA WANDERI KAMAU MWANAMUZIKI Justina Syokau almaarufu kama ‘Madam 2020’ anamaliza mwaka 2023 kwa drama zake za kawaida. Ingawa yeye...