• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

TALANTA YANGU: Gwiji wa kucheza zeze

NA PATRICK KILAVUKA MATHEW Joshua, 15, alivutiwa na jinsi ala ya muziki wa kiasili Urutu (zeze) ilivyokuwa ikichezwa kwa namna ya kuifanya...

WALLAH BIN WALLAH: Ukitaka kuzifanya kazi zako ziwe bora zaidi, basi lazima ujiboreshe mara kwa mara!

NA WALLAH BIN WALLAH KINOLEWACHO hupata. Na kikipata hukata! Hivyo ndivyo wasemavyo wataalamu wanaoamini na kuthamini kwamba ukitaka...

GWIJI WA WIKI: Prof Mosol Kandagor

NA CHRIS ADUNGO ZAIDI ya kutoa fursa kwa washiriki kujadili kwa jicho la kiuhakiki nafasi ya Kiswahili katika uchumi wa kijani, Kongamano...

MIZANI YA HOJA: Katu usimfanyie ujeuri wala dhihaka mtu yeyote aliyewahi kukutendea wema au kukufaa

NA WALLAH BIN WALLAH WEMA haununuliwi dukani wala hauchuuzwi sokoni. Wema hutokana na hulka na utu wa mtu mwenyewe. Mtu akiamua...

GWIJI WA WIKI: Mwanahabari Selly ‘Kadot’ Amutabi

NA CHRIS ADUNGO UANAHABARI ni taaluma ambayo Selly ‘Kadot’ Amutabi alianza kuvutiwa nayo katika umri mdogo. Alianza safari ya elimu...

TALANTA: Ngoi asiye na mfano

NA PATRICK KILAVUKA USIJE ukadunishwa na yeyote unapofanya kitu au kuwa mwoga. Kuwa mkakamavu na usiyekata tamaa! Isitoshe, maneno ya...

MIZANI YA HOJA: Ni vizuri kutenda wema maishani lakini usitende wema zaidi ya uwezo wako

NA WALLAH BIN WALLAH KWA hakika tunakubaliana sana na mafunzo ya kidini yasemayo kwamba umpende jirani kama unavyojipenda wewe...

HADITHI FUPI: Mbinu za kimtindo katika ‘Mapambazuko’

MWANDISHI ametumia mbinu anuai katika hadithi Fupi Mapambazuko. Naomba tudondoe kadhaa zifuatazo: Majazi - majina yaliyotumiwa...

TAMTHILIA: Mtiririko wa matukio katika sehemu 11, Onyesho I

JUMA hili tuangazie mtiririko wa matukio katika sehemu 11, onyesho I. Mandhari: Ni alasiri, nyumbani kwa Neema, mjini. Neema na mamake...

GWIJI WA WIKI: Peter Ndung’u

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU mwenye mapenzi ya dhati kwa taaluma yake huwa na msukumo wa kutaka kujifunza mambo mapya. Zaidi ya kuchangamkia...

MIZANI YA HOJA: Omba Mungu sana ili akupe uwezo pamoja na mawazo ya kufikiri uishi vizuri duniani

NA WALLAH BIN WALLAH KUFIKIRI ni kazi. Kufikiri kunamsaidia mtu kufikiria atakavyoishi, atakavyokula, atakavyovaa na atakavyopata mahitaji...

GWIJI WA WIKI: Subiri Jay

NA CHRIS ADUNGO NDOTO ya kuwa mwanamuziki ilianza kumtambalia Subiri Jay katika umri mdogo. Wazazi wake walimruhusu ajiunge na makundi...