NA HENRY MOKUA KILA shule inapojitahidi kuimarisha matokeo ya wanafunzi wayo masomoni hasa wakati huu wa mitihani ya kitaifa, nyingi...
NA ENOCK NYARIKI MARA nyingi, watu hujikuta wakilitumia neno ‘angalau’ katika muktadha wa ‘ingawa’ au ‘aghalabu’. Maumbo...
NA PROF CLARA MOMANYI FASIHI ni njia moja ya kuendeleza utamaduni wa jamii ambao pia ni ujumla wa maisha ya jamii hiyo. Kupitia kwa...
NA PROF IRIBE MWANGI JUMA lililopita Chuo Kikuu cha Nairobi kiliadhimisha Siku ya Wanafunzi wa Kigeni. Chuo kina wanafunzi wa kigeni...
NA CHRIS ADUNGO MATUMIZI ya nyimbo darasani hufanya wanafunzi kuelewa mambo haraka, huwaamshia hamu ya kujifunza dhana mpya na huwafanya...
NA ENOCK NYARIKI AKILI za Katiti zilisuka kwa haraka jibu ambalo angempa baba yake na ambalo lingemfanya kumeza joto alilokuwa nalo...
NA PATRICK KILAVUKA AMEZAMIA katika kukuza kipaji cha tenisi kwa kuiga mchezaji mahiri Angela Okutuyi ambaye amekuwa mwiba katika ulingo...
NA PROF IRIBE MWANGI SIKU ya Jumatano nilikuwa ninaongea na kakangu mmoja kwa njia ya simu. Baada ya mazungumzo kuhusu mambo ya...
NA WALLAH BIN WALLAH MITIHANI ni sehemu ya maisha ya kila siku kwa mwanadamu. Kuna mitihani sampuli nyingi sana maishani kama vile...
NA CHRIS ADUNGO NDOTO ya kuwa mwanamuziki ilianza kumtambalia Keziah Jerono Rachel katika umri mdogo. Mamaye mzazi alimruhusu...
NA CHRIS ADUNGO FAHARI kubwa ya mwalimu ni kuona mtoto aliyeingia shuleni bila kujua lolote akipiga hatua kubwa katika safari ya elimu...
NA PROF IRIBE MWANGI JUMATATU nilikuwa na kikao na watu muhimu katika ulimwengu wa Kiswahili. Mmoja wao ni Balozi Wanjohi,...