• Nairobi
  • Last Updated June 3rd, 2023 5:43 PM

GWIJI WA WIKI: Nelson Mandela

Na CHRIS ADUNGO MATAMANIO makubwa ya Nelson Mandela, 34, ni kutikisa ulingo wa filamu kimataifa kiasi cha kufikia kiwango cha staa wa...

MWALIMU WA WIKI: Analenga kuwa profesa karibuni

Na CHRIS ADUNGO ZAIDI ya kuongoza wanafunzi kufikia malengo yao ya kiakademia, mwalimu bora anapaswa pia kuwa mlezi wa vipaji vya...

NGUVU ZA HOJA: Je, Waswahili wanafaa kufunzwa na kutahiniwa lugha ya Kiswahili?

NA PROF IRIBE MWANGI JUZI nilikuwa napiga gumzo na shangazi yangu mmoja aliyewahi kutembea pwani. Alinieleza kwamba kuna rafiki yake...

MIZANI YA HOJA: Ni muhimu kuwa na malengo ya kukuelekeza na kukuhamasisha ili kufaulu katika mtihani wako

NA WALLAH BIN WALLAH AGHALABU kila mtu anaposoma shuleni au chuoni dhamira yake kuu huwa ni kujifunza aelimike na ajiandae kufaulu...

NGUVU ZA HOJA: Kiswahili ni mhimili mkuu wa mshikamano wa kitaifa

NA PROF CLARA MOMANYI MENGI yamesemwa na kuandikwa kuhusu umuhimu wa Kiswahili katika ujenzi wa umoja na mshikamano nchini. Uradidi...

TALANTA: Kiongozi wa nyimbo

NA PATRICK KILAVUKA UKAKAMAVU, ujasiri na kujiamini vimekuwa vigezo ambavyo vimemfaa zaidi katika jitihada za kuongoza nyimbo katika...

MWALIMU WA WIKI: Mwalimu bambam na mwanamitindo stadi

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU bora anastahili kuchangamkia masuala yanayohusiana na mtaala na kuwa mwepesi wa kubuni mbinu anuwai za...

PAUKWA: Bobu amtoa kijasho Harara baraza la wazee

NA ENOCK NYARIKI MBUZI wa Babu Nyakebagendi walikuwa wameshiba na kuning’iniza vitumbo vyao upande wa kulia na kushoto kama sogi...

RIWAYA: Kielelezo cha swali la dondoo na namna ya kulijibu mtihanini

JUMA hili tutarejelea swali la dondoo. Dondoo hurejelea msemaji wa maneno fulani, msemewa, mahali walipo na msemewa na chanzo cha kauli...

GWIJI WA WIKI: Kelsy Kerubo

Na CHRIS ADUNGO KELSY Kerubo ni miongoni mwa wasanii wa humu nchini wanaoinukia vyema katika tasnia ya muziki. Upekee wake ulingoni...

MWALIMU WA WIKI: Mwinyi ‘Masharubu’ ni mwalimu tosha!

Na CHRIS ADUNGO MWALIMU hafai kuwa kiini cha wanafunzi wake kukata tamaa katika safari ya masomo. Anastahili kujikusuru kufunza hadi...

PAUKWA: Ajabu ya Tundu ‘mfu’ kuwatokea wanakijiji

NA ENOCK NYARIKI MOYO wa Bwana Farijala uling’oka alipoona upindo wa nguo ya mwanawe kwenye mshumbi uliokuwa umetengenezwa na ndovu...