• Nairobi
  • Last Updated February 26th, 2024 10:30 AM

Miracle Baby wa muziki wa kidunia aapa kumtumikia Mungu

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa Gengetone, Peter Mwangi almaarufu 'Miracle Baby' amefichua nia yake ya kuwa mhubiri pindi tu...

Men’s Conference: Kongamano la mashambulizi shtukizi ya kulinda ‘boychild’

NA WANDERI KAMAU MIAKA michache iliyopita, neno ‘Men’s Conference’, yaani Kongamano la Wanaume, lilikuwa tamko tu la kimzaha kwenye...

Wanawake Lamu wadai ladha ya ndoa ni ‘kuwakalia chapati’ waume

NA KALUME KAZUNGU WANAWAKE katika Kaunti ya Lamu wametoa ushauri kwa wanaume wanaotawaliwa na kasumba ya taasubi ya kiume na kuwaambia...

Azziad ajigamba ni Gen Z hodari wa kukoroga lugha ya mama

NA FRIDAH OKACHI VIJANA wengi wa kizazi cha sasa almaarufu Gen Z na Millenial, mara nyingi hujifanya hawajui lugha ya kwanza...

Valentino: Wanaume wenye mabibi wengi wataka hakikisho SHIF itawajali

NA MAUREEN ONGALA WANAUME wenye wake kuanzia wawili kuendelea wameitaka Wizara ya Afya kueleza namna ambavyo familia zao zitafaidika...

Wahubiri sauti ya mnyonge

NA WANDERI KAMAU JE, unawafahamu viongozi wa kidini waliowahi kujitokeza na kuwa watetezi wa raia dhidi ya tawala zilizopo bila kuogopa...

Familia zahangaishwa na ‘ugonjwa’ wa wazee kupotea jijini

NA FRIDAH OKACHI IMEBAINIKA kwamba baadhi ya wazee, waume kwa wake, hukumbwa na matatizo ya kusahau njia wanapokuwa wametoka nyumbani...

Sababu za korongo kuondoka Ziwa Nakuru

NA PAULINE ONGAJI KWENYE ufuo wa Ziwa Nakuru, Bw Nicholas Rioba, mkazi wa eneo la Lunga Lunga, Kaunti ya Nakuru, anafurahia mandhari murwa...

Prof Katana awataka walimu kutowatwika wazazi lawama zote za moto shuleni

NA MAUREEN ONGALA ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bodi ya Elimu ya Kaunti ya Kilifi Gabriel Katana amewataka wasimamizi wa shule za upili...

Tulioshwa maelfu ya pesa kwa ahadi ya kuanzishiwa biashara

NA MERCY KOSKEI NOVEMBA mwaka jana, Cynthia* alipatana na ujumbe kwa WhatsApp (status) ya rafikiye uliokua ukitangaza biashara ya kuuza...

Wanariadha wachanga waliofariki nyota zao zikiwa ndio zimeanza kung’aa

NA WANDERI KAMAU KIFO cha mshikilizi wa rekodi ya dunia  ya mbio za marathon, Kelvin Kiptum, Jumapili usiku, kimeibua kumbukumbu ya...

Kando na Eliud Kipchoge, wafahamu ‘macelebs’ waliowahi kukaangwa na Wakenya mitandaoni

NA WANDERI KAMAU SHUTUMA ambazo bingwa wa mbio za marathon, Eliud Kipchoge, ameelekezewa na Wakenya kwenye mitandao ya kijamii kufuatia...