TAHARIRI: Serikali inayoingia isipuuze matatizo ya afya ya akili yanayokumba raia

NA MHARIRI MOJAWAPO ya mambo muhimu ambayo serikali mpya inapaswa kuayaangazia kwa haraka ni afya ya akili. Sekta ya afya imegatuliwa...

BENSON MATHEKA: Itatufaa sana tukiiga mawakili katika kesi ya urais; walishindana kwa misingi ya hoja

NA BENSON MATHEKA WALIPOKUWA wakiwakilisha wateja wao mbele ya majaji wa Mahakama ya Upeo kwenye kesi ya kupinga matokeo ya urais...

TUSIJE TUKASAHAU: Ruto atimize ahadi ya kujenga kiwanda cha mbolea

JANA Jumapili Rais Mteule William Ruto alishikilia kuwa suluhu la kudumu kwa shida ya kupanda kwa bei ya unga wa mahindi ni kupunguzwa kwa...

WANTO WARUI: Serikali ijayo idumishe mtaala mpya wa elimu wa CBC

NA WANTO WARUI KUMEKUWA na tetesi za hapa na pale kwamba, mfumo mpya wa elimu wa CBC utabatilishwa ikiwa serikali ya Kenya Kwanza...

TAHARIRI: Magavana wapya waelimishwe kuhusu Sheria ya Ajira

NA MHARIRI WIKI jana na wiki hii serikali za kaunti zinaendelea kutangaza nyadhifa za watu watakaokuwa mawaziri au makatibu wa...

WANDERI KAMAU: Mawakili wakongwe sasa wapishe chipukizi katika mahakama zetu

NA WANDERI KAMAU TATHMINI ya kina kuhusu kesi ambayo imekuwa ikiendelea katika Mahakama ya Upeo kuhusu matokeo ya urais kwenye uchaguzi...

DOUGLAS MUTUA: Ni kosa kubwa kusherehekea uamuzi wa kesi ya uchaguzi wa urais mapema

NA DOUGLAS MUTUA WAVYELE walisema kutenda kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa. Wakenya wanarudia kosa ambalo walifanya wiki chache...

TAHARIRI: Klabu za Ligi Kuu zijishughulishe vilivyo msimu mpya ukikaribia

NA MHARIRI HUKU harakati za kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu ya Soka nchini zikiendelea kupamba moto, ni wazi kwamba wadau mbali mbali...

TAHARIRI: Nambari mpya za usajili wa magari zina manufaa tele

NA MHARIRI KUANZISHWA kwa nambari mpya za usajili wa magari za kidijitali kuna faida kadhaa kuu. Muhimu zaidi ni, bila shaka,...

TAHARIRI: Kenya Power sasa iimarishe uhusiano na wateja wake

NA MHARIRI TANGAZO la kampuni ya Kenya Power kwamba imesimamisha kandarasi ya kampuni za kibinafsi kusambaza stima ya kujaza lafaa...

TUSIJE TUKASAHAU: Mvutano wa Kagwe na magavana utatuliwe kwa kurejelea ‘Fourth Schedule’

AFISI Kuu ya Baraza la Magavana (CoG) imepinga hatua ya Waziri wa Afya Mutahi Kagwe kubadilisha jina la Baraza la Kitaifa la Kupambana na...

KINYUA BIN KING’ORI: Katiba ina utaratibu namna mshindi hukabidhiwa mamlaka, heshimu Uhuru

NA KINYUA BIN KING'ORI TANGU Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Bw Wafula Chebukati, amtangaze Dkt William Ruto wa...